Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

xaidjr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
392
Reaction score
468
Habari zenu wadau,

Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu.

Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
 
Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.
 
Nakupa mtazamo wa baadhi ya wazazi:
Wanahisi kuwa yule mwanamke aliyekuwa na mtoto labda alikuwa hajatulia na karuka ruka na wanaume wengi.. jambo ambalo si kweli

Wanahisi baba wa mtoto ataingilia ndoa yenu ambapo itapelekea ya kwako kuwa na migogoro... hapa inabidi mwanaume ajiongeze aidha achukue majukumu ya mtoto au mtoto asiwe anaishi naye..

Wengine husema wanawake wote hao umeona huyu aliyezaa lakini mapenzi hayachagui .

Lingine limekaa kama lkawivu wivu hivi kwamba kwa nini umuhudumie mtoto wa mwanaume mwenzio .. hii ni kutoka hatuna utamaduni wa kutofahamu na tambua haki za mtoto hata kama wazazi wake hawapo ... zaidi utamaduni wa kulea damu si yako kibongo bongo haupo sana
 
Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.
Siyo tu waliozaa nao.. Single mum ni rahis sana kugegedwa hata na watu wengine! Ukikataliwa na single mum kaoge maji ya baharini!!
 
Siyo tu waliozaa nao.. Single mum ni rahis sana kugegedwa hata na watu wengine! Ukikataliwa na single mum kaoge maji ya baharini!!
Ni kweli kabisa yani viko vingi sana vya kuchambua kukusu single mom ila itabidi saaa uifungulie thread yake ili uichambue kwa mapana zaidi
 
Hekima na busara za mwanadamu hazipo kwenye kutokukosea bali ni kujifunza kulingana na makosa.....

Katika safari ya maisha ya kimahusiano kujikwaa ni jambo la kawaaida kwani tunaishi katika ulimwengu uliojaa wanafiki, waongo na walaghai...na ni vigumu kuikwepa mitego yao.....

Mara nyingine unaweza ukajikuta upo kwenye mikono ya shetani huku ukizani kuwa ni malaika.....na wakati mwingine ukajikuta upi kwenye mikono ya malaika wewe ukidhani ni shetani........

Kama ilivyo ngumu kuitofautisha ladha ya pepsi na Azam cola....ndivyo ilivyo ngumu kumtambua mnafiki na msema kweli kwani wote wanakuja katika sura na maumbo yaliyofanana......

8ca03bfdc43bea738fb81c394bd1813f.jpg
2e082418cd4c1c443f760bc266d2e101.jpg
 
Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.
inashangaza kuona wanaume mnawaona single mothers kama ni watu wabaya! Wasio na maadili! Na wasiofaa kupewa nafasi ya kuwa mke! Hii hoja yako inaweza kumtokea mtu yeyote except kama uyo mkeo ulimuoa bikra! Watu wengi wana oa au kuolewa wakiwa Tayari wamepitia kwenye First Love, na first Love huwa haifi kirahisi pia! Na hao hao waliiolewa Non single mothers wanawaza kuchepuka na first Lovers wao, hivyo hilo ni jambo Labkuomba Mungu tu akupe couple njema isiyokumbuka mambo ya nyuma ambayo yanaweza kuhatarisha ndoa yenu
 
Hekima na busara za mwanadamu hazipo kwenye kutokukosea bali ni kujifunza kulingana na makosa.....

Katika safari ya maisha ya kimahusiano kujikwaa ni jambo la kawaaida kwani tunaishi katika ulimwengu uliojaa wanafiki, waongo na walaghai...na ni vigumu kuikwepa mitego yao.....

Mara nyingine unaweza ukajikuta upo kwenye mikono ya shetani huku ukizani kuwa ni malaika.....na wakati mwingine ukajikuta upi kwenye mikono ya malaika wewe ukidhani ni shetani........

Kama ilivyo ngumu kuitofautisha ladha ya pepsi na Azam cola....ndivyo ilivyo ngumu kumtambua mnafiki na msema kweli kwani wote wanakuja katika sura na maumbo yaliyofanana......

8ca03bfdc43bea738fb81c394bd1813f.jpg
2e082418cd4c1c443f760bc266d2e101.jpg
Pamoja na hayo... Kila mtu abebe msalaba wake!!
 
inashangaza kuona wanaume mnawaona single mothers kama ni watu wabaya! Wasio na maadili! Na wasiofaa kupewa nafasi ya kuwa mke! Hii hoja yako inaweza kumtokea mtu yeyote except kama uyo mkeo ulimuoa bikra! Watu wengi wana oa au kuolewa wakiwa Tayari wamepitia kwenye First Love, na first Love huwa haifi kirahisi pia! Na hao hao waliiolewa Non single mothers wanawaza kuchepuka na first Lovers wao, hivyo hilo ni jambo Labkuomba Mungu tu akupe couple njema isiyokumbuka mambo ya nyuma ambayo yanaweza kuhatarisha ndoa yenu
Naona single momo "kisu kimegonga mfupa".

Just a kidding: hata mimi ni single baba pia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
wanashindwa kuelewa mtu anaweza kuwa alizaa na mwanaume wake wa 9 sasa sijui hao wa kwanza nao atakuwa anatoka nao ama vipi? na pia kama umetoa mimba 5 una wazazi wenzio 5 sirini mwako hapo sijui inakuwajeeee!
 
Mtoa post sijui ulidhamilia nn ila nikuombe ufahamu single mothers sio wote ni watu wabaya! Na sio wote hawafai kupewa nafasi ya kuwa mke! Japo wapo wachache wanasababisha kuharibiwa kwa sifa za hawa watu na hii huwa ipo hata katika upande wa wanawake ambao ni non single mothers sio wote wanafaa kuolewa pia!
Kuna sababu nyingi zinapelekea mtu kuwa single mother including kifo cha mwenza,usaliti wa wanaume, kuachwa na wapenz au waume,kupata mimba wakiwa shule n.k kuna wadada wengine nao huamua kwa dhat ya mioyo yao kuamua kuwa hivyo walivyo! Kwaiyo siamini kama single mothers ni watu wabaya kama wengine wanavyojadili hapa! Kikubwa ni kujua Huyo mtu uliyenae ni muaminifu kiasi gani, mvumilivu kiasi gani !!
Tuwapumzishe Single mothers kwa kuwapa shutuma mbaya kwa kila kitu tuwapongeze kwa ujasiri wao wa kulea watoto wao pamoja na changamoto wanazopitia kuna watu wengi tu huoa single mother sio lazima uwe wewe unaeshinda kumkandia humu.
 
Back
Top Bottom