Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.

Si wote Kama unavyofikiri!
 
Tena ukitaka kutoka Na kutokuwa Na stress za ajabu ajabu tafuta mwanamke mwenye mtoto uwe naye Na umuonyeshe upendo, mfanye awe huru, muamini kwa kila mambo kwa sababu Mara nyingi huwa Ni watu wanaofikiria maendeleo Sana.

Ila ukianza kumuonea wiv Kama upo Na katoto ka-sec hamtaelewana hata.
 
Naona single momo "kisu kimegonga mfupa".

Just a kidding: hata mimi ni single baba pia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Am not afraid to be a single mom hata siku moja, bora kuwa single mother kuliko kung'ang'ana katika mahusiano yatayokutoa roho bora Ku quit uanze upya hata kama itabidi ukabiliane na watu wenye mawazo hasi kama yenu! Bora kuzaa kuliko kuto kuzaa
NB. Wengi wanaolewa miaka hii lakini wengi pia wanaachika kwaiyo tusiwahukumu Sana'a hawa watu
 
Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.
Hizo unenavyo ni fikra zako tu. Tatizo kubwa ni mila na silka zetu kwani kwenye kuoa/msiba mara nyingi huwa ni shughuli ambazo huhusisha siyo familia ya mhusika tu wakati mwingine hata ukoo huhusika. Halafu vilevile ndoa kwa waafrika wengin ni kuunganisha koo mbili[ za mume na mke] Hivyo tatizo la kwanza huanzia hapo
Jee siku hizi tunaonana wapi hadi tunafikia maamuzi ya ndoa?
Kingine ni jee kwa nini tunaoa/olewa???
Jee tunaoa kwa vile wakati umefika na wewe uwe na mke/mume?
Jee tunaoa/olewa kwa vile umepata mrembo bomba/bw mwenye uwezo???
Jee tunaoa ili tuanze familia?
Jee tunaoa baada ya wawili kuelewana tabia/kupenda[bila kujali shepu/uzuri wa sura]kuaminiana, kila mmoja kumjali na kumhurumia mwenzake, kila mmoja kuukubali udhaifu wa mwenza?
Kwanza tujiulize haya na mengine kabla hatujaenda mbele zaidi???
 
Mkuu most of them inakuwa ni ngumu sana kuachana na mzazi mwenzie moja kwa moja. Mfano mzuri mimi kabla sijaoa kuna binti nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi lakini yeye alikuwa tayari ana mtoto wa miaka mitatu so wakti nakutana naye alikuwa anaishi kwa wazazi wake.

Nikaona sio vizuri kumuacha aendelee kuishi pale ikabidi nimpangie nyumba sehemu nyingine ila nilikuwa silali maana hata mimi nilikuwa na kwangu na nilikuwa naishi na mama yangu mzazi na wadogo zangu so nilikuwa sipendi maswali ya kujua nililala wapi au kuhisi ndugu yao nitabia hatarishi.

Sasa kuna siku mama na wadogo zangu walienda mkoani kutembea nikabi peke yangu pale home ikabidi nimwambie yule single mum kuwa nahitaji kwenda kulala kule ,akasema siku hiyo wifi zake yaani dada zake na yule mzazi mwenzie wamekuja kumtembelea so haitoleta picha nzuri mbele ya wale wifi zake.

Nikajiuliza kichwani inamaana hao wifi zake wanahisi ile nyumba kaka yao ndio anayelipia kodi au vipi? Nikakosa jibu ila nilikaa kimya wala sikumuhoji zaidi.

Kuna siku tena nikaona ameweka picha kwenye DP yake ya whatsapp ya huyo mzazi mwenzie na akiwa amembeba mtoto halafu mazingira ni ya pale kwenye ile nyumba akaweka na status ''PENDA SANA NYINYI ''. Ila haikudumu sana ile DP akaitoa.

Kengere ya hatari ikalia kichwani kwangu siku hiyo nikwamwambia leo nakuja kulala akasema kuna wadogo zake wapo pale nikamwambi vyumba vipo vya kutosha wao wanalala vyumba vingine na sisi tutalala kwenye chumba chetu akasema subiri nitakupigia baadae halafu ilikuwa jumamosi.

Nikasubiri simu yake mpaka saa tisa hakunipigia ikabidi nimtafute simu yake ikawa haipatikani niakamua kwenda hivyo hivyo sasa nilipofika nikamkuta yule mzazi mwenzie yupo pale amevaa vest na taulo langu. Sikuongea naye nikazama chumbani moja kwa moja jamaa akanifuata . Akaniuliza wewe vipi mbona unaingia chumbani bila mpangilio mzuri ? Nilimuuliza unajua kodi ya hii nyumba ni shilingi ngapi? akataka kupambana na mimi wala siku mkawiza nilipiga ngumi za maeneo ya kichwani tatu na wala watu hawakusikia kama kuna ugomvi maana jamaa alizimia.Nilimwambia yule single mum naomba kesho uhame au la umwambie huyu jamaa yako arudishe kodi yangu iliyosalia.

Kumbe yule jamaa na yule single mum waliachana baada ya jamaa kufulia na hakuwa na kazi hadi siku ile niliyowakuta jamaa hakuwa na maisha so mimi nilikuwa ninawalea yeye ,mke wake na mtoto wao .

Ila siku rudi tena baada ya pale na nikaapa sitopenda tena single mum labda mzazi mwenzie awe ameshafiriki ndio naweza nikamfikiria .
 
Habari zenu wadau Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maon yenu...
Eti ni kwanin wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mum)
Ingekua wew ungefanya nin
 
Mkuu most of them inakuwa ni ngumu sana kuachana na mzazi mwenzie moja kwa moja. Mfano mzuri mimi kabla sijaoa kuna binti nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi lakini yeye alikuwa tayari ana mtoto wa miaka mitatu so wakti nakutana naye alikuwa anaishi kwa wazazi wake.

Nikaona sio vizuri kumuacha aendelee kuishi pale ikabidi nimpangie nyumba sehemu nyingine ila nilikuwa silali maana hata mimi nilikuwa na kwangu na nilikuwa naishi na mama yangu mzazi na wadogo zangu so nilikuwa sipendi maswali ya kujua nililala wapi au kuhisi ndugu yao nitabia hatarishi.

Sasa kuna siku mama na wadogo zangu walienda mkoani kutembea nikabi peke yangu pale home ikabidi nimwambie yule single mum kuwa nahitaji kwenda kulala kule ,akasema siku hiyo wifi zake yaani dada zake na yule mzazi mwenzie wamekuja kumtembelea so haitoleta picha nzuri mbele ya wale wifi zake.

Nikajiuliza kichwani inamaana hao wifi zake wanahisi ile nyumba kaka yao ndio anayelipia kodi au vipi? Nikakosa jibu ila nilikaa kimya wala sikumuhoji zaidi.

Kuna siku tena nikaona ameweka picha kwenye DP yake ya whatsapp ya huyo mzazi mwenzie na akiwa amembeba mtoto halafu mazingira ni ya pale kwenye ile nyumba akaweka na status ''PENDA SANA NYINYI ''. Ila haikudumu sana ile DP akaitoa.

Kengere ya hatari ikalia kichwani kwangu siku hiyo nikwamwambia leo nakuja kulala akasema kuna wadogo zake wapo pale nikamwambi vyumba vipo vya kutosha wao wanalala vyumba vingine na sisi tutalala kwenye chumba chetu akasema subiri nitakupigia baadae halafu ilikuwa jumamosi.

Nikasubiri simu yake mpaka saa tisa hakunipigia ikabidi nimtafute simu yake ikawa haipatikani niakamua kwenda hivyo hivyo sasa nilipofika nikamkuta yule mzazi mwenzie yupo pale amevaa vest na taulo langu. Sikuongea naye nikazama chumbani moja kwa moja jamaa akanifuata . Akaniuliza wewe vipi mbona unaingia chumbani bila mpangilio mzuri ? Nilimuuliza unajua kodi ya hii nyumba ni shilingi ngapi? akataka kupambana na mimi wala siku mkawiza nilipiga ngumi za maeneo ya kichwani tatu na wala watu hawakusikia kama kuna ugomvi maana jamaa alizimia.Nilimwambia yule single mum naomba kesho uhame au la umwambie huyu jamaa yako arudishe kodi yangu iliyosalia.

Kumbe yule jamaa na yule single mum waliachana baada ya jamaa kufulia na hakuwa na kazi hadi siku ile niliyowakuta jamaa hakuwa na maisha so mimi nilikuwa ninawalea yeye ,mke wake na mtoto wao .

Ila siku rudi tena baada ya pale na nikaapa sitopenda tena single mum labda mzazi mwenzie awe ameshafiriki ndio naweza nikamfikiria .
Mzazi mwenzie akifariki full kujiachia hapo sasa maana hakuna tena stress
 
nakupa mtazamo wa baadhi ya wazazi:
wanahisi kuwa yule mwanamke aliyekuwa na mtoto labda alikuwa hajatulia na karuka ruka na wanaume wengi.. jambo ambalo si kweli

wanahisi baba wa mtoto ataingilia ndoa yenu ambapo itapelekea ya kwako kuwa na migogoro... hapa inabidi mwanaume ajiongeze aidha achukue majukumu ya mtoto au mtoto asiwe anaishi naye..

wengine husema wanawake wote hao umeona huyu aliyezaa lakini mapenzi hayachagui .

lingine limekaa kama lkawivu wivu hivi kwamba kwa nini umuhudumie mtoto wa mwanaume mwenzio .. hii ni kutoka hatuna utamaduni wa kutofahamu na tambua haki za mtoto hata kama wazazi wake hawapo ... zaidi utamaduni wa kulea damu si yako kibongo bongo haupo sana
Well said ila mi sion kama kunatatizo maana kuna wengine wanakuwaga more than just an wife love caring inakuwa the same pale pale
 
Tena ukitaka kutoka Na kutokuwa Na stress za ajabu ajabu tafuta mwanamke mwenye mtoto uwe naye Na umuonyeshe upendo, mfanye awe huru, muamini kwa kila mambo kwa sababu Mara nyingi huwa Ni watu wanaofikiria maendeleo Sana.

Ila ukianza kumuonea wiv Kama upo Na katoto ka-sec hamtaelewana hata.
Tishaa sana mkuu
 
Well said ila mi sion kama kunatatizo maana kuna wengine wanakuwaga more than just an wife love caring inakuwa the same pale pale
hawana tatizo mkuu we kama umependa na anaeleweka we komaaa
 
Mkuu most of them inakuwa ni ngumu sana kuachana na mzazi mwenzie moja kwa moja. Mfano mzuri mimi kabla sijaoa kuna binti nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi lakini yeye alikuwa tayari ana mtoto wa miaka mitatu so wakti nakutana naye alikuwa anaishi kwa wazazi wake.

Nikaona sio vizuri kumuacha aendelee kuishi pale ikabidi nimpangie nyumba sehemu nyingine ila nilikuwa silali maana hata mimi nilikuwa na kwangu na nilikuwa naishi na mama yangu mzazi na wadogo zangu so nilikuwa sipendi maswali ya kujua nililala wapi au kuhisi ndugu yao nitabia hatarishi.

Sasa kuna siku mama na wadogo zangu walienda mkoani kutembea nikabi peke yangu pale home ikabidi nimwambie yule single mum kuwa nahitaji kwenda kulala kule ,akasema siku hiyo wifi zake yaani dada zake na yule mzazi mwenzie wamekuja kumtembelea so haitoleta picha nzuri mbele ya wale wifi zake.

Nikajiuliza kichwani inamaana hao wifi zake wanahisi ile nyumba kaka yao ndio anayelipia kodi au vipi? Nikakosa jibu ila nilikaa kimya wala sikumuhoji zaidi.

Kuna siku tena nikaona ameweka picha kwenye DP yake ya whatsapp ya huyo mzazi mwenzie na akiwa amembeba mtoto halafu mazingira ni ya pale kwenye ile nyumba akaweka na status ''PENDA SANA NYINYI ''. Ila haikudumu sana ile DP akaitoa.

Kengere ya hatari ikalia kichwani kwangu siku hiyo nikwamwambia leo nakuja kulala akasema kuna wadogo zake wapo pale nikamwambi vyumba vipo vya kutosha wao wanalala vyumba vingine na sisi tutalala kwenye chumba chetu akasema subiri nitakupigia baadae halafu ilikuwa jumamosi.

Nikasubiri simu yake mpaka saa tisa hakunipigia ikabidi nimtafute simu yake ikawa haipatikani niakamua kwenda hivyo hivyo sasa nilipofika nikamkuta yule mzazi mwenzie yupo pale amevaa vest na taulo langu. Sikuongea naye nikazama chumbani moja kwa moja jamaa akanifuata . Akaniuliza wewe vipi mbona unaingia chumbani bila mpangilio mzuri ? Nilimuuliza unajua kodi ya hii nyumba ni shilingi ngapi? akataka kupambana na mimi wala siku mkawiza nilipiga ngumi za maeneo ya kichwani tatu na wala watu hawakusikia kama kuna ugomvi maana jamaa alizimia.Nilimwambia yule single mum naomba kesho uhame au la umwambie huyu jamaa yako arudishe kodi yangu iliyosalia.

Kumbe yule jamaa na yule single mum waliachana baada ya jamaa kufulia na hakuwa na kazi hadi siku ile niliyowakuta jamaa hakuwa na maisha so mimi nilikuwa ninawalea yeye ,mke wake na mtoto wao .

Ila siku rudi tena baada ya pale na nikaapa sitopenda tena single mum labda mzazi mwenzie awe ameshafiriki ndio naweza nikamfikiria .
Mhhh poleh mkuu wacha nianzie kujifunzia hapa [emoji17][emoji17]
 
Labda wazazi wanaogopa huyo utaemuoa mtakuwa na hati miliki watu wa wawili aliemuacha na wewe unaemchukua..ila mwisho wa siku wewe ndo unapenda hivyo uamuzi unakuwa wako.
 
We ni mwanaume wa ajabu sana unaona noma mwanamke kukaa kwao na kuamua kumpangia chumba wakati wewe unakaa kwenu [emoji108] [emoji108] [emoji108] yaani unabomoa boma lako kwa kwenda kujenga ghorofa la jirani [emoji23] [emoji23] waache vidume walalee atii hahahahaa bora uyo Dada alitambua mapema kuwa ana date na mwanaume anayeishi kwao kwa woga wa kuulizwa amelala wapi usiku "Naiomba serikali irudishe Jando na Unyago" hali za kufikiri kwa wanaume zinapungua kila siku
 
nakupa mtazamo wa baadhi ya wazazi:
wanahisi kuwa yule mwanamke aliyekuwa na mtoto labda alikuwa hajatulia na karuka ruka na wanaume wengi.. jambo ambalo si kweli

wanahisi baba wa mtoto ataingilia ndoa yenu ambapo itapelekea ya kwako kuwa na migogoro... hapa inabidi mwanaume ajiongeze aidha achukue majukumu ya mtoto au mtoto asiwe anaishi naye..

wengine husema wanawake wote hao umeona huyu aliyezaa lakini mapenzi hayachagui .

lingine limekaa kama lkawivu wivu hivi kwamba kwa nini umuhudumie mtoto wa mwanaume mwenzio .. hii ni kutoka hatuna utamaduni wa kutofahamu na tambua haki za mtoto hata kama wazazi wake hawapo ... zaidi utamaduni wa kulea damu si yako kibongo bongo haupo sana
Hoja zako zina mashiko kwa mujibu wa jamii zetu. Niongezee kidogo

Katika jamii zetu nyingi, mwanamke ama mwanaume kuwa na mtoto, inatafsirika kuwa na extra experience kuhusu MAHUSIANO na MAISHA, kwamba ukioana na mtu wa aina hii ATAKUSHIKA AKILI, na inakuwa mbaya zaidi kama huyo mwenye mtoto ni mwanamke.

Kingine ni katika issue za mirathi incase of death. Kwamba waafrika wengi wana dhana kuwa mirathi nyingi zina complications nyingi na inakuwa mbaya zaidi kunapokuwa na mirathi inayohusu mtoto wa baba mwingine.

La mwisho ni inferiority complex ya wanaume sisi wenyewe. Kwamba jamaa, ndugu na marafiki watanionaje kuoa mke ambaye "ameshazalishwa".

Hakuna kikubwa zaidi.
 
kweli mkuu ni mtu mmoja mmoja kubadilisha hii hali
 
Back
Top Bottom