KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kachukue soda kwa mangi
Na mimi mpwa...maana jua kali kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukue soda kwa mangi
Jaman kwa upande wangu n swali tu nimeuliza nasijapotoka kiasi hicho ninawaheshimu wakinamama nimejaribu kuweka huu Uzi ili tupate kujulishana pia kutenganisha maji na mafuta ni yapi huwexi ukamsakama single mum bila kujua dark side n white or clean side nashukur watu wanafunguka na tunaelewa.Hivi hao single mothers walidondoka Kutoka mbinguni?...
Wanaume ndio mnaowazalisha mabinti kisha kuwatelekeza au kuwasaliti, kisha ninyi ndio mnaongoza kwa kuwananga humu kila uchao...
Wengine mnajisifia kabisa "Nimemzalisha lakini sitomuoa" akaolewe na nani?
Wengine mama zenu ni 'single mothers',wamewalea wenyewe baada ya baba zenu kuwasaliti, na kuna thread humu jamvini mlikuwa mnawapongeza sana mama zenu kwa bidii waliyofanya kuwalea mpaka leo 'mmekuwa watu' lakini mnawasakama mpaka mnawasababishia usumbufu wa kisaikolojia..
Kuweni na staha japo kidogo.
Maneno adhwimu sana feittyMnawaonea hawa single mama bure.
Kama mtu ana tabia yake mbaya anayo tu hata asipokuwa single mama.Kuna wanaojiheshimu na wasiojiheshimu kama ambao hawana watoto.
Shida kubwa ya wazazi ni ile hali ya kuhudumia mtoto asiyekuwa wako
Haha wewe kwani leo hujatengeneza ile juice yako? Haya chukua na wewe soda yakoNa mimi mpwa...maana jua kali kweli....
Pamoja sana mkuu, mimi pia nimecomment generally hususan kwa wale wanao generalize kuwa all single mothers hawafai kuoa.Jaman kwa upande wangu n swali tu nimeuliza nasijapotoka kiasi hicho ninawaheshimu wakinamama nimejaribu kuweka huu Uzi ili tupate kujulishana pia kutenganisha maji na mafuta ni yapi huwexi ukamsakama single mum bila kujua dark side n white or clean side nashukur watu wanafunguka na tunaelewa.
Yote ya yote asilimia 75% ya single mum reason behind is the father na haimaanishi ni wabaya la hasha takwimu xinatueleza hapa kuna watu watakao kejel kuwa hawafai kuna watu wataona ni moja ya watu muhimu sana katika maisha yao ivoo
So usifadhaike mkuu penye mamba hats kenge wapo
We ni mwanaume wa ajabu sana unaona noma mwanamke kukaa kwao na kuamua kumpangia chumba wakati wewe unakaa kwenu [emoji108] [emoji108] [emoji108] yaani unabomoa boma lako kwa kwenda kujenga ghorofa la jirani [emoji23] [emoji23] waache vidume walalee atii hahahahaa bora uyo Dada alitambua mapema kuwa ana date na mwanaume anayeishi kwao kwa woga wa kuulizwa amelala wapi usiku "Naiomba serikali irudishe Jando na Unyago" hali za kufikiri kwa wanaume zinapungua kila siku
Kuna haja ya kufanya hivyo hata kwenye ngazi ya jamii maana wanaume wamekua hawajielewi kutwa kufichua mambo ya ndani na hii yote inatokana na kutumia ganzi kuutengeneza uanaume waoHii serikali ya Magu ina kazi kweli kweli, hadi kurudisha unyago?
Ahahah mbona umeniandama sanaUNAFURAHIA KWASABABU UNATARAJIA ....