Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Mzazi unajiuliza huyu bint ameshachapwa mpaka kuzalishwa huko analadha gani tena iliyosalia atakayofaidi mwanangu?
 
Kuwa uyaone na kuona ndio kuamini.
Mm binafsi simshauri mtu aoe single mother hii ni kutokana na jinsi nilivyowaona niliwahi kuwa na mahusiano na wanawake kama wawili hivi wote single mom dah! Sna hamu kabisa neno hapana kwao ni dhambi kubwa
 
Hujazaa nao hao single mom's?
 
Wazazi wengi hudhani single mother hawajatulia wana tabia mbaya ndio maaana wakazalishwa bila kuolewa. Cha msingi nikuangalia tabia na hulka ya mwanamke haijalishi ana mtoto nje au laa maaana kuna wengine sio single mother na tabia zao ni mbaya kuliko hao single mother.
 
We ni mwanaume wa ajabu sana unaona noma mwanamke kukaa kwao na kuamua kumpangia chumba wakati wewe unakaa kwenu [emoji108] [emoji108] [emoji108] yaani unabomoa boma lako kwa kwenda kujenga ghorofa la jirani [emoji23] [emoji23] waache vidume walalee atii hahahahaa bora uyo Dada alitambua mapema kuwa ana date na mwanaume anayeishi kwao kwa woga wa kuulizwa amelala wapi usiku "Naiomba serikali irudishe Jando na Unyago" hali za kufikiri kwa wanaume zinapungua kila siku
single mother comment
 
Back
Top Bottom