miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
nakupenda piaHahahahahaha wataelewa nimekupenda bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakupenda piaHahahahahaha wataelewa nimekupenda bure.
Apo bado unampenda?Mkuu most of them inakuwa ni ngumu sana kuachana na mzazi mwenzie moja kwa moja. Mfano mzuri mimi kabla sijaoa kuna binti nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi lakini yeye alikuwa tayari ana mtoto wa miaka mitatu so wakti nakutana naye alikuwa anaishi kwa wazazi wake.
Nikaona sio vizuri kumuacha aendelee kuishi pale ikabidi nimpangie nyumba sehemu nyingine ila nilikuwa silali maana hata mimi nilikuwa na kwangu na nilikuwa naishi na mama yangu mzazi na wadogo zangu so nilikuwa sipendi maswali ya kujua nililala wapi au kuhisi ndugu yao nitabia hatarishi.
Sasa kuna siku mama na wadogo zangu walienda mkoani kutembea nikabi peke yangu pale home ikabidi nimwambie yule single mum kuwa nahitaji kwenda kulala kule ,akasema siku hiyo wifi zake yaani dada zake na yule mzazi mwenzie wamekuja kumtembelea so haitoleta picha nzuri mbele ya wale wifi zake.
Nikajiuliza kichwani inamaana hao wifi zake wanahisi ile nyumba kaka yao ndio anayelipia kodi au vipi? Nikakosa jibu ila nilikaa kimya wala sikumuhoji zaidi.
Kuna siku tena nikaona ameweka picha kwenye DP yake ya whatsapp ya huyo mzazi mwenzie na akiwa amembeba mtoto halafu mazingira ni ya pale kwenye ile nyumba akaweka na status ''PENDA SANA NYINYI ''. Ila haikudumu sana ile DP akaitoa.
Kengere ya hatari ikalia kichwani kwangu siku hiyo nikwamwambia leo nakuja kulala akasema kuna wadogo zake wapo pale nikamwambi vyumba vipo vya kutosha wao wanalala vyumba vingine na sisi tutalala kwenye chumba chetu akasema subiri nitakupigia baadae halafu ilikuwa jumamosi.
Nikasubiri simu yake mpaka saa tisa hakunipigia ikabidi nimtafute simu yake ikawa haipatikani niakamua kwenda hivyo hivyo sasa nilipofika nikamkuta yule mzazi mwenzie yupo pale amevaa vest na taulo langu. Sikuongea naye nikazama chumbani moja kwa moja jamaa akanifuata . Akaniuliza wewe vipi mbona unaingia chumbani bila mpangilio mzuri ? Nilimuuliza unajua kodi ya hii nyumba ni shilingi ngapi? akataka kupambana na mimi wala siku mkawiza nilipiga ngumi za maeneo ya kichwani tatu na wala watu hawakusikia kama kuna ugomvi maana jamaa alizimia.Nilimwambia yule single mum naomba kesho uhame au la umwambie huyu jamaa yako arudishe kodi yangu iliyosalia.
Kumbe yule jamaa na yule single mum waliachana baada ya jamaa kufulia na hakuwa na kazi hadi siku ile niliyowakuta jamaa hakuwa na maisha so mimi nilikuwa ninawalea yeye ,mke wake na mtoto wao .
Ila siku rudi tena baada ya pale na nikaapa sitopenda tena single mum labda mzazi mwenzie awe ameshafiriki ndio naweza nikamfikiria .
Thanks.nakupenda pia
Nilishamfuta kwenye record ya moyo wangu.Apo bado unampenda?
Naona yamekukutaAsante
Asante
Any qn so far
Any qn so far
Tia neno mkuu,Aiseee
Hapana kijana,ni mambo ambayo hua nayaona katika maisga halisi,kwann tupate shida ilhali tunayafuga wenyewe...Naona yamekukuta
Kivip mkuuKinachowaharibia ni akili za kushikiwa
Naamgud morning