UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Kweli kuna MTU nilitaka aisomee coz ana tabia zote hizoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo watulie wasaidiwe viburi mno hawa viumbe..Laiti mngejua magumu ya kulea mtoto peke yako msingekuwa mnawatukana na kuwachambua kila siku ila kuwarekebisha wanapokosea hawa watu wanahitaji upendo sana wamepitia au wanapitia magumu.
NB:MIMI SI SINGLE MOM ILA NAJUA MAGUMU YA KULEA MTOTO PEKE YAKO
Single mother anaweza kuishi yeye tuu,hata akimpata mwanaume mwenye malengo naye,bado hukumbuka ya aliyemtelekeza.kazi ipo jmnNilikuwa katika mahusiano na Singlemother nilimuonesha njia zote za kumpenda na kumjali yeye pamoja na mwanae, kusema kweli hawa watu hawapendeki na jeuri hawawezi kuonesha upendo kwako. Hawa watu wanakua na matatizo ya kisaikolojia.
Mi huwa nakwambia daily konyagi na mirungi haikufai kijana unakuwa mkali ona ulichoandika sasa,hakiendani na status yangu.Dogo umeandika 'Upupu'
Kwa taarifa yko tu hakuna wanawake wanaojielewa km Single Mothers. Wengi wanakuwa na akili za kimaisha. Wanajiamini sababu walisha umizwa. Akikupenda kakupenda kweli. Ni watamu balaaa..
Acha kukalili bwana mdogo. Eti wambea. Sjui Wachafu. Aiseee unatia kinyaaa bwana mdogo.utakuwa unawasemea Dada zako nadhani..
SanaUmepatwa mkuu
But sizingumzii kama ni wote tafadhal japo robo tatu hizo sifa zaoNi dhahili tabia zao ni mbaya. Kwa sababu msichana mwenye maadili/dini hafanyi mapenzi kabla hajaolewa. Achilia mbali kupata mimba kabisa! Labda kama alibakwa. Hahahaaaaa najua ni ngumu lkn ndo ukweli huo
Ebuana ee uzi wala haujakashifu mtuu,embu soma ktk post yangu kuna sehemu nimeandika NB/Kumbuka,then rudi tupambaneTatizo ni generalisation ya topic. Huwezi kuwafagia single mothers wote, kuwazoa kwa kizoleo kimoja na wote kuwatupa jalalani.
Sababu ya wao kuwa single mothers ni nyingi, pengine walizaa kabla ya ndoa wakatoswa, waliachana au walifiwa na waume /partners wao, nk.
Kuna single mothers wamekuza watoto ambao sasa wamefanikiwa kimaisha kuliko hata wale waliotunzwa na wazazi wote wawili.
Tujitahidi ku avoid generalisation, kwani mara kwa mara tuki generalize vitu, tunaishia kuwa BIASED.
Cha maana mtoto atunzwe katika mazingira yenye upendo, apewe malazi, chakula na mahitaji yote muhimu. Mtoto huyu apewe pia elimu dunia pamoja na elimu ya kiroho, amche Mungu na ajue kwamba sisi sote tupo safarini hivyo hatuna budi tupendane, ikishindikana kupendana basi tuvumiliane.
Declaration: A happily married man for 25 years now.
Uko 100% mkuu yaan wale mme wake aliyemzalisha ni everything ndio maana anaweza kuolewa na bwana mwingine wakaishi hata miaka 15 akijitokeza mmewe wa mwanzo yuko tayar kukumwagaSasa inakuaje unakua na mtu ambaye hana hisia na wewe ndio maana hata kwenye sex nilikua natumia nguvu nyingi kumfikisha kileleni mpaka nashangaa kumbe alikua hana hisia na mimi. Inaelekea Singlemothers hisia huondoka baada ya waliowazalisha kuondoka (KUFARIKI au KUACHANA) inabidi muishi tu kivyenu haina haja kuingia kwenye mahusiano.
WajeHaya Single mothers mje mjibu tuhuma
SanaWakifikia kuzaa kunajitokeza washauri wengi mno, hao wote wanataka wasikilizwe kuhusu mtoto. Mwishowe unakuta baba wa mtoto hasikilizwi
MhNdomana uyo hakukupenda ...mwanamke akikupenda akakufeel kumfikisha kilelen n rahc sana Ata kwa kidole atakojoa....
HahaaKweli kuna MTU nilitaka aisomee coz ana tabia zote hizoo
DuuhNdiyo watulie wasaidiwe viburi mno hawa viumbe..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kengele ya hatari ikalia kichwaniMkuu most of them inakuwa ni ngumu sana kuachana na mzazi mwenzie moja kwa moja. Mfano mzuri mimi kabla sijaoa kuna binti nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi lakini yeye alikuwa tayari ana mtoto wa miaka mitatu so wakti nakutana naye alikuwa anaishi kwa wazazi wake.
Nikaona sio vizuri kumuacha aendelee kuishi pale ikabidi nimpangie nyumba sehemu nyingine ila nilikuwa silali maana hata mimi nilikuwa na kwangu na nilikuwa naishi na mama yangu mzazi na wadogo zangu so nilikuwa sipendi maswali ya kujua nililala wapi au kuhisi ndugu yao nitabia hatarishi.
Sasa kuna siku mama na wadogo zangu walienda mkoani kutembea nikabi peke yangu pale home ikabidi nimwambie yule single mum kuwa nahitaji kwenda kulala kule ,akasema siku hiyo wifi zake yaani dada zake na yule mzazi mwenzie wamekuja kumtembelea so haitoleta picha nzuri mbele ya wale wifi zake.
Nikajiuliza kichwani inamaana hao wifi zake wanahisi ile nyumba kaka yao ndio anayelipia kodi au vipi? Nikakosa jibu ila nilikaa kimya wala sikumuhoji zaidi.
Kuna siku tena nikaona ameweka picha kwenye DP yake ya whatsapp ya huyo mzazi mwenzie na akiwa amembeba mtoto halafu mazingira ni ya pale kwenye ile nyumba akaweka na status ''PENDA SANA NYINYI ''. Ila haikudumu sana ile DP akaitoa.
Kengere ya hatari ikalia kichwani kwangu siku hiyo nikwamwambia leo nakuja kulala akasema kuna wadogo zake wapo pale nikamwambi vyumba vipo vya kutosha wao wanalala vyumba vingine na sisi tutalala kwenye chumba chetu akasema subiri nitakupigia baadae halafu ilikuwa jumamosi.
Nikasubiri simu yake mpaka saa tisa hakunipigia ikabidi nimtafute simu yake ikawa haipatikani niakamua kwenda hivyo hivyo sasa nilipofika nikamkuta yule mzazi mwenzie yupo pale amevaa vest na taulo langu. Sikuongea naye nikazama chumbani moja kwa moja jamaa akanifuata . Akaniuliza wewe vipi mbona unaingia chumbani bila mpangilio mzuri ? Nilimuuliza unajua kodi ya hii nyumba ni shilingi ngapi? akataka kupambana na mimi wala siku mkawiza nilipiga ngumi za maeneo ya kichwani tatu na wala watu hawakusikia kama kuna ugomvi maana jamaa alizimia.Nilimwambia yule single mum naomba kesho uhame au la umwambie huyu jamaa yako arudishe kodi yangu iliyosalia.
Kumbe yule jamaa na yule single mum waliachana baada ya jamaa kufulia na hakuwa na kazi hadi siku ile niliyowakuta jamaa hakuwa na maisha so mimi nilikuwa ninawalea yeye ,mke wake na mtoto wao .
Ila siku rudi tena baada ya pale na nikaapa sitopenda tena single mum labda mzazi mwenzie awe ameshafiriki ndio naweza nikamfikiria .
Usiseme wanaume,sema baadhi ya wanaumeHivi hao single mothers walidondoka Kutoka mbinguni?...
Wanaume ndio mnaowazalisha mabinti kisha kuwatelekeza au kuwasaliti, kisha ninyi ndio mnaongoza kwa kuwananga humu kila uchao...
Wengine mnajisifia kabisa "Nimemzalisha lakini sitomuoa" akaolewe na nani?
Wengine mama zenu ni 'single mothers',wamewalea wenyewe baada ya baba zenu kuwasaliti, na kuna thread humu jamvini mlikuwa mnawapongeza sana mama zenu kwa bidii waliyofanya kuwalea mpaka leo 'mmekuwa watu' lakini mnawasakama mpaka mnawasababishia usumbufu wa kisaikolojia..
Kuweni na staha japo kidogo.
ExactlyUko 100% mkuu yaan wale mme wake aliyemzalisha ni everything ndio maana anaweza kuolewa na bwana mwingine wakaishi hata miaka 15 akijitokeza mmewe wa mwanzo yuko tayar kukumwaga
True sayHabar za wakati huu wakuu,
Leo nimeonelea niandike kidogo haiba za hawa wanawake ambao wana watoto na kuishi kwa kujiongeza yaani single mothers.kumekuwepo na mijadala na hoja mbalimbali kuhusiana na single mothers,ni kweli hawa wanawake baadhi yao huwa ni matatizo ya wanaume waliozaa nao kwamba zile tamaa ndogo ndogo huamua kupit Kushoto na kumuacha mwenza solemba akipigania familia yeye mwenyewe na kuendesha maisha mpaka pale ambapo hupata mwenza mwingine na kuanza naye maisha mapya.
Lakini kwanini single mothers karibia wote huwa hawaishi na wanaume zao?
Ndugu zangu 70% ya single mothers wana MATATIZO sana,sio kidogo yaani saaana.ndio maana kuna muda huwa naenda mbali zaidi kwa kuwaza kwamba anayeamua kuishi ama kuoa hawa wanawake ana matatizo naye sio bure fuatilia sana utagundua ni mwanaume aliyepatwa na vimikasa fulani katika mapenzi aidha alifiwa na mke wake au naye wametalikiana au stress nyingine kibaaoh,Japokuwa siongei haya kama kudhihaki NO ndio uhalisia wenyewe.
Nimesema kuwa hawa wanawake wanashida kwasababu wengi wao wanamatatizo yafuatayo,
1.jeuri
2.tabia za ajabu
3.viburi
4.uchafu
5.kukatisha tamaa
6.umbeya
KUMBUKA:sio wote wana tabia hizo,lakini yeyote umjuaye ana tabia moja kati ya hizo.Hawa wanawake wengi hawadumu katika ndoa kwasababu hizo hapo juu ba zingine nyingi tuu.Single mothers wengi akiolewa hujifanya kumjali mtoto wake saaana kuliko hata mume aliyemuoa kama ni ndoa yake ta kwanza.Na hapo ndipo shida huanzia,wanaume mara nyingi hupenda kusifiwa,ukimsifia hiyo ndoa itadumu tu trust me.Hivi hata kama unampenda mtoto wako ndio ushindwe hata kuigiza upendo kwa mumeo mpya?, yaani unakuta mtu yuko bize na kumjali mtoto kuliko mme wake na mwisho wa siku ndoa inavunjika.Wengi wakiolewa akikuta huyo mme mpya ana mali tayari wao huwa hawazithamini kabisa,huchukulia kama ni mzigo wa mwanaume pekee na michakato mizima kumuachia mwanaume,yeye atakuwa bize na kumfanya huyo mwanaume kama chanzo cha kipato chake na kuwajali zaidi watoto wake kuliko hata wa huyo mwanaume na mwishi wa siku akigundua mambo huwa yanaenda kombo.
USHAURI:dada zetu ambao mulizalishwa mkaachwa,ukipata bahati ya kuolewa anza maisha mapya,usiishi maisha ya majuto na maigizo,msingi wa kwanza ili ndoa yako idumu mpende mme wako na onesha kumjali mfanyie mambo yote yanayostahili kwake na kwa familia yenu kama mke wake,sawa hukosei kumjali mwanao ila kumbuka usifanye mpaka mwanaume akajua basi hutadumu.