Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

You are right ila pia kuna wale single mothers walioachika na waume zao baada ya jamaa kugundua mkewe huyo amezaa na mtu mwingine. Baada ya muda unakuta litoto linaanza kuwa kibaka kumbe mama yake alichepuka na jambazi kwa ajili ya tamaa ya kuwa na hela. Hivyo ni rahisi sana kukuta a single mother ana hasira akifikiria future ya mtoto aliyezaa na jambazi ama muuza sembe. Matatizo mengi karibia ya 99.9% wanawake wanajitakia wenyewe kwani hawana uvumilivu.
Kabisa yaan
 
Hakika,ndio maana huwa sishauri sana kuoa single mothers
 
Wengine ni mama zetu,
Unapowatukana wao
Umetutukana sisi sote

Kama ni mama zetu
Basi ni wazazi wetu
Ni wazazi wako pia

Mzazi hakosei
Mtoto hamkosoi mzazi
Acha kuleta mambo ya wazazi mtandaoni
Aliyesema anadhihaki nan? Acha upimbi wewe
 
Matatizo siyo single mothers tu!
Usiwaonee kabisa!
Wananawake haswa mwafrika, MFUMO DUME umewaathiri vibaya sana!
Wanawake lazima tuamke kwenye fikra!
MWANAMKE ANA UWEZO MKUBWA WA KUMLEA MUME WAKE PAMOJA NA WATOTO WAKE!
TUJIAMINI, UWEZO WA HALI YA JUU TUNAO!
WANAWAKE,WE ARE CREATORS!
 
95% wana matatizo. Mtoa mada hajakosea. Kwa experience yangu nimedate hawa watu nimekutana na yote yaliyoorodheshwa hapo juu. Na wengi ni walalamishi sana na kale kaugonjwa ka "Im always right" kanawasumbua sanaa.
 
Laiti mngejua magumu ya kulea mtoto peke yako msingekuwa mnawatukana na kuwachambua kila siku ila kuwarekebisha wanapokosea hawa watu wanahitaji upendo sana wamepitia au wanapitia magumu.
NB:MIMI SI SINGLE MOM ILA NAJUA MAGUMU YA KULEA MTOTO PEKE YAKO
 
Hawa watu wanakua stress sana hasa ukute mtoto anaemlea baba yake hawapendani unakuta muda wote inamjia picha ya lijamaa lake walieachana au unakuta Mimba kaipata bahati mbaya kwa tamaa zake.
 
Hawa watu wanakua stress sana hasa ukute mtoto anaemlea baba yake hawapendani unakuta muda wote inamjia picha ya lijamaa lake walieachana au unakuta Mimba kaipata bahati mbaya kwa tamaa zake.
 
Ukiachana na origin post ya pili na ya tatu ni yako inamaaana ulikuwa hutaki mtu akae hapo au hujawai shika hizo nafasi tangia wasoma mpaka jf?????
 
Laiti mngejua magumu ya kulea mtoto peke yako msingekuwa mnawatukana na kuwachambua kila siku ila kuwarekebisha wanapokosea hawa watu wanahitaji upendo sana wamepitia au wanapitia magumu.
NB:MIMI SI SINGLE MOM ILA NAJUA MAGUMU YA KULEA MTOTO PEKE YAKO
Nnadhani lengo la uzi ni kuwaasa wenye tabia hizo kubadilika.

Inawezekana huu uzi ukaokoa ndoa ya mtu huko.

I hope siku yako imeanza vizuri.
 
Laiti mngejua magumu ya kulea mtoto peke yako msingekuwa mnawatukana na kuwachambua kila siku ila kuwarekebisha wanapokosea hawa watu wanahitaji upendo sana wamepitia au wanapitia magumu.
NB:MIMI SI SINGLE MOM ILA NAJUA MAGUMU YA KULEA MTOTO PEKE YAKO
Nilikuwa katika mahusiano na Singlemother nilimuonesha njia zote za kumpenda na kumjali yeye pamoja na mwanae, kusema kweli hawa watu hawapendeki na jeuri hawawezi kuonesha upendo kwako. Hawa watu wanakua na matatizo ya kisaikolojia.
 
Dogo umeandika 'Upupu'
Kwa taarifa yko tu hakuna wanawake wanaojielewa km Single Mothers. Wengi wanakuwa na akili za kimaisha. Wanajiamini sababu walisha umizwa. Akikupenda kakupenda kweli. Ni watamu balaaa..

Acha kukalili bwana mdogo. Eti wambea. Sjui Wachafu. Aiseee unatia kinyaaa bwana mdogo.utakuwa unawasemea Dada zako nadhani..
 
Pole sana...

Wapo watakaokuja kubishana na wewe... ila kimoyo moyo wanajua umeongea ukweli kadri ya uwezo wako...
Tatizo bindadamu ni wabishi sana...

1.jeuri
2.tabia za ajabu
3.viburi
4.uchafu
5.kukatisha tamaa
6.umbeya

Cc: mahondaw
 
Ni dhahili tabia zao ni mbaya. Kwa sababu msichana mwenye maadili/dini hafanyi mapenzi kabla hajaolewa. Achilia mbali kupata mimba kabisa! Labda kama alibakwa. Hahahaaaaa najua ni ngumu lkn ndo ukweli huo
 
Back
Top Bottom