Kwanini Baba Nyerere hakutunganisha na Rwanda na Burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

Kwanini Baba Nyerere hakutunganisha na Rwanda na Burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

Ni kujuze mwaka 1884 -1885 wakati wanatugawa waligawa kote ila zanzibar ilonekana sio nchi .sababu waliona ni sehemu ya tanganyika.
kutokana na utawala ambao umefichwa historia na watu wake wakataka kuifanya sehemu state ya waarabu.
ili lilimfanya nyerere kuungana na abed sababu hakuna sehemu zanzibar iliwekwa 1884-1885 kuwa nchi.

NI akili tu
Akili gani hapo wakati Zanzibar wamebaki na nchi yao na serikali yao??ni muungano wa kipuuzi sana sema watanganyika huwa hatukubali ukweli kuwa kwenye muungano Mzee Karume alimzidi ujanja Nyerere......
Kuna sintofahamu nyingi sana kwenye huo muungano laiti leo hii au kizazi cha sasa kingeshuhudia terms na conditions za huo muungano hakuna mtanganyika angekubaliana nao isipokuwa tuu kama una matatizo ya kiakili!
 
Mbona kulikuwa na harakati za kuiunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi moja
 
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Swali zuri sana; niliwahi kumuuliza mzee Edward Balongo swali hilo akasema kuwa mpango huo uilikuwapo, isipokuwa kwa vile bado kulikuwa na migogoro ya kikabila kuhusu ardhi, Nyerere alikuwa anataka kumaliza migogoro hiyo kwa kuwapa hifdahi Tanzania huku akishughulikia federation kusudi baada ya federation, Rwanda na Burundi zingeunganisha na Tanzankia kama sehemu ya federation.

Kwa bahati mbaya federation ikafeli, na migogoro ya kikabila huko ikaexplode out of control,
 
Akili gani hapo wakati Zanzibar wamebaki na nchi yao na serikali yao??ni muungano wa kipuuzi sana sema watanganyika huwa hatukubali ukweli kuwa kwenye muungano Mzee Karume alimzidi ujanja Nyerere......
Kuna sintofahamu nyingi sana kwenye huo muungano laiti leo hii au kizazi cha sasa kingeshuhudia terms na conditions za huo muungano hakuna mtanganyika angekubaliana nao isipokuwa tuu kama una matatizo ya kiakili!
Wahimize vyama ya upinzani mkazo Sasa badala ya katiba mpya, iwe referendum. Wananchi waamue kuhusu huu muungano ambao Sasa tunawaona wazanzibari wakiwa Ma DC, Ma Ras na vyeo vingi ambavyo si vya wizara za Muungano
 
Rwanda
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Sababu za kijiografia, zenj infikika kirahisi na wale waliokua upande wa ucomunist, Soviet, Cuba, zenj ilikuwa tishio kwa mabepari kwamba inaweza ikawa Cuba ndogo Afrika,
Kingine, Rwanda, Burundi, majority ni Christians, Roman Catholic, wana the same values na West World,
Zenj sasa, 99%muslim, hawa, lazima uwadhibiti!
 
Rwanda na Burundi zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika na sarafu ilikuwa moja, hata jimbo la Mozambique la Cabo Delgado lilikuwa Tanganyika.

Baada ya Ujerumani kushindwa vita ndio Mreno akachukuwa Cabo Delgado na Wabelgium wakachukuwa Rwanda na Burundi.
Umeongea ukweli Mkuu,hapo umeniwahi,na kingine wanaongea Kifaransa sababu Ubelgiji na Ufaransa ni walewale,ni kama vile Saudia na Qatar wote ni Waarabu.Utofauti wa Ufaransa na Ubelgiji ni nchi ila lugha ni ileile
 
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Alikuachia ww uje utuunganishe
 
Back
Top Bottom