Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nenda Cabo Delgado utakuta wamakonde na wamakuwa.Kumbe Rwanda na Burundi ni sehemu ya nchi yetu!
Itatokea kuungana nao tena ili tuwe na nchi kubwa iitwayo Tanganyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Cabo Delgado utakuta wamakonde na wamakuwa.Kumbe Rwanda na Burundi ni sehemu ya nchi yetu!
Itatokea kuungana nao tena ili tuwe na nchi kubwa iitwayo Tanganyika?
Akili gani hapo wakati Zanzibar wamebaki na nchi yao na serikali yao??ni muungano wa kipuuzi sana sema watanganyika huwa hatukubali ukweli kuwa kwenye muungano Mzee Karume alimzidi ujanja Nyerere......Ni kujuze mwaka 1884 -1885 wakati wanatugawa waligawa kote ila zanzibar ilonekana sio nchi .sababu waliona ni sehemu ya tanganyika.
kutokana na utawala ambao umefichwa historia na watu wake wakataka kuifanya sehemu state ya waarabu.
ili lilimfanya nyerere kuungana na abed sababu hakuna sehemu zanzibar iliwekwa 1884-1885 kuwa nchi.
NI akili tu
Kipindi gani?Mbona kulikuwa na harakati za kuiunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi moja
Mzee mchonga alifeli sanaNamshanga sna huyu mzee badla ya kutungaanisha na watusti unakwenda kutungaanisha na miarabu
Oyaaa hizi pisi za Kinywaranda sio poaTunavyolia lia kuhusu utapel wa mapenzi ,tungeunganishwa na hizi chuma tungejiua nchi nzima kisa mapenzi.
Watoto ni wa moto kinyama , apo ata ukijiua kidogo unaeleweka.Oyaaa hizi pisi za Kinywaranda sio poa
Ubwa, Ame, Makame, Usi ni Waarabu?Namshanga sna huyu mzee badla ya kutungaanisha na watusti unakwenda kutungaanisha na miarabu
Hujakutana na wanyarwanda wabaya wewe
Swali zuri sana; niliwahi kumuuliza mzee Edward Balongo swali hilo akasema kuwa mpango huo uilikuwapo, isipokuwa kwa vile bado kulikuwa na migogoro ya kikabila kuhusu ardhi, Nyerere alikuwa anataka kumaliza migogoro hiyo kwa kuwapa hifdahi Tanzania huku akishughulikia federation kusudi baada ya federation, Rwanda na Burundi zingeunganisha na Tanzankia kama sehemu ya federation.Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Wahimize vyama ya upinzani mkazo Sasa badala ya katiba mpya, iwe referendum. Wananchi waamue kuhusu huu muungano ambao Sasa tunawaona wazanzibari wakiwa Ma DC, Ma Ras na vyeo vingi ambavyo si vya wizara za MuunganoAkili gani hapo wakati Zanzibar wamebaki na nchi yao na serikali yao??ni muungano wa kipuuzi sana sema watanganyika huwa hatukubali ukweli kuwa kwenye muungano Mzee Karume alimzidi ujanja Nyerere......
Kuna sintofahamu nyingi sana kwenye huo muungano laiti leo hii au kizazi cha sasa kingeshuhudia terms na conditions za huo muungano hakuna mtanganyika angekubaliana nao isipokuwa tuu kama una matatizo ya kiakili!
Sababu za kijiografia, zenj infikika kirahisi na wale waliokua upande wa ucomunist, Soviet, Cuba, zenj ilikuwa tishio kwa mabepari kwamba inaweza ikawa Cuba ndogo Afrika,Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Umeongea ukweli Mkuu,hapo umeniwahi,na kingine wanaongea Kifaransa sababu Ubelgiji na Ufaransa ni walewale,ni kama vile Saudia na Qatar wote ni Waarabu.Utofauti wa Ufaransa na Ubelgiji ni nchi ila lugha ni ileileRwanda na Burundi zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika na sarafu ilikuwa moja, hata jimbo la Mozambique la Cabo Delgado lilikuwa Tanganyika.
Baada ya Ujerumani kushindwa vita ndio Mreno akachukuwa Cabo Delgado na Wabelgium wakachukuwa Rwanda na Burundi.
Alikuachia ww uje utuunganisheUkitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe