Basi umemaliza mkuu! Endelea kutoa elimu yako hii ni nzuri, lakini usiwe unawashangaa au kuwabeza "old skul" kuendelea na mfumo wa karne nyingi wa kutunza fedha benki.
Teknolojia ya fedha "fintech" inakuja na mambo mazuri sana na ni "game changing" lakini bado kuna suala la "security and risks" linaendelea kuwa na tatizo katika ujio wa teknolojia hizo.
Bado kuna fumbo hilo kwenye hizo financial coins;
Ndio maana utaona pamoja na ujio wa hizo coins; bado benki huko huko Ulaya na Marekani zinaendelea kutengeneza faina annually; JP Morgan Chase & Co, Bank of America, Global Players kama Wells Fargo, Citigroup bado zinaendelea kutengeneza faida kwa akiba pamoja na ujio wa hizo coins.