Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

Ofisini tena! Binance si ni application, ofisini inahusika vipi hapo? Achana na ofisini physically, application yenyewe inajitosheleza, unabadili cash yako kuwa usdt au stable coin yoyote unatunza pesa zako bila stress ya makato ya benki zetu na mifumo ya jadi
Sasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanye
 
Sasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanye
Ni vyema unajua maudhui ya huu Uzi, Yani LENGO k
 
Na kwa wale wenzangu na mimi ambao mshahamia kwenye Binance na USDT hapa bongo, mnakutana na changamoto gani za kiutendaji au za kueleweka katika mazingira yetu? Weka maoni yako hapa chini tuchambue.
Ngoja mzozo wa Iran dhidi ya US na Israel upoe kwanza, tutaweka. Kwa sababu, Zile nyayanza mtandao zilizochininya sakafu ya Strait of Hormuz zikikatwa hiyo USDT inaweza kuwa negative.
 
Sasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanye
Mimi sizungumzii binance nazungumzia crypto assets especially stable coin ,unaweza kuhifadhi hata kwenye coldwalet ,conbase na zingine nyingi
 
Imagine mtu anaweka 80000Tsh then after month anacheck balance anakuta 62000Tsh na wengine wanakuta wako na chini ya hapo

At the same time ukidepost 100usdt after 3+months utakuta 100usdt
This is so true nilibakishaga ka dollar 10
Mwaka jana nimeangalia leo kapo
2A501603-475B-47A9-BEC1-DFA2CEF99BD1.jpeg
 
Office za hao runners zipo wapi?. Usije kuja na milio tofauti badae ,,Sio kila bank Ina makato ya kifala,,,
bank zitaendelea kua na umuhimu tu,, ukitoa hela binance wakala atatumia bank au mobile money kukupa hela.

na hilo suala la hao jamaa wakikimbia itakuaje ni mzozo mwingine
 
Hayo mambo wengi hawana hufaham wa Crypto Currency, ila alternative ya kukwepa makato kaweke UTT na ukifanya masihala huko crypto currency kama huna uelewa unaweza ukapigwa.
 
Back
Top Bottom