Dogo una mjua saa jefu?
SIr jeff namfahamu mkuuπ
Wakuu mimi sijafocus na sizungumzii crytpo trading mimi nazungumzia kuhold crypto assets mainly stable coin kama usdt π mimi sio trader naona munataka kuniunganisha na watu wa forexAkijibu nitag mkuu. π
Minaona kwa bongo hii kitu bado sio salama na hatujafikia level hizoFor sure bro kama haupo makini sio sehemu salama ila kama upo makini ni sehemu salama sana
Upo sahihi mkuu
RIsk kubwa ni acckunt take over kama hautakua makini na account yako dhidi ya phsing scammer page na malware
Je utamanage vipi risk?
Tutamanage risk kwa kuturn on passkey
Authenticator na
2factor verification na
Strong pasword against brutal force attacker
Kwa mantiki hiyo ukiweza kumanage risk ikatokea mtu akafahamu email na pasword yako ya binance itakua ngumu sana kulogin kwenye account yako
Wakuu mimi sijafocus na sizungumzii crytpo trading mimi nazungumzia kuhold crypto assets mainly stable coin kama usdt π mimi sio trader naona munataka kuniunganisha na watu wa forex
Usiseme kwa bongo hatujafika kuna baadhi ya watu kama mimi tunatumiaMinaona kwa bongo hii kitu bado sio salama na hatujafikia level hizo
Uko sahihi mkuu thanks for your appreciations_be blessedBasi umemaliza mkuu! Endelea kutoa elimu yako hii ni nzuri, lakini usiwe unawashangaa au kuwabeza "old skul" kuendelea na mfumo wa karne nyingi wa kutunza fedha benki.
Teknolojia ya fedha "fintech" inakuja na mambo mazuri sana na ni "game changing" lakini bado kuna suala la "security and risks" linaendelea kuwa na tatizo katika ujio wa teknolojia hizo.
Bado kuna fumbo hilo kwenye hizo financial coins;
Ndio maana utaona pamoja na ujio wa hizo coins; bado benki huko huko Ulaya na Marekani zinaendelea kutengeneza faina annually; JP Morgan Chase & Co, Bank of America, Global Players kama Wells Fargo, Citigroup bado zinaendelea kutengeneza faida kwa akiba pamoja na ujio wa hizo coins.
Uko sahihi mkuu thanks for your appreciations_be blessed
Naona jamaa ananirefer na traderπ mkuu mimi sio crpto wala forex traderHatujakuunganisha mkuu, jamaa kakuuliza tuu! π
Naona jamaa ananirefer na traderπ mkuu mimi sio crpto wala forex trader
Mimi nimebase na kuhold stable coin mainly usdt atleast ningeitaja Bitcoin(BTC) ningeonekana nimeingia kwa watu wa stoploss na take profit na graph zao
hukutakiwa kujibu huu uzi kama haujausoma kwa maana unachojibu hakiendani na kichwa wala kiini cha uzi huuKwanini watu wa forex huwa hamtulii mkajipigia zenu pesa kimyakimya badala ya kupiga mayowe kutaka watu wengine wajiingize kwenye hizo mambo? Au mna roho nzuri sana?
Asee mimi na trading ni vitu tofauti na ndio maana hata bitcoin staki hata kuisikia mambo ya dump and pumpHujaingia kwa wale, japo ni dugu moja, Abdala Sefu mwingine Sefu Abdala. π
Asee mimi na trading ni vitu tofauti na ndio maana hata bitcoin staki hata kuisikia mambo ya dump and pump
Mimi natumia crypto wallet kuhifadhia dollars na kufanya baadhi ya manunuzi ya mtandaoni
Dah yeah ni ndugu ila mimi imehindwa kunipeleka huko mkuuπHatujakaa brother, hata wao wanahifadhi huko huko na kufanya "trading" kutoka huko. Au hiyo "wallet" haikupeleki huko ukihitaji. π
Mzungu ni bingwa wa kucheza na "Mindset" lakini nyie ni dugu moja, mabinamu, mmoja kwa mwanamke; mwingine kwa mwanaume. π
Dah yeah ni ndugu ila mimi imehindwa kunipeleka huko mkuuπ
Kuna muda kama hujui kitu ni bora kunyamaza na kuwaacha wanaojua watoe maoni yao.Kwanini watu wa forex huwa hamtulii mkajipigia zenu pesa kimyakimya badala ya kupiga mayowe kutaka watu wengine wajiingize kwenye hizo mambo? Au mna roho nzuri sana?