Sasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanyeOfisini tena! Binance si ni application, ofisini inahusika vipi hapo? Achana na ofisini physically, application yenyewe inajitosheleza, unabadili cash yako kuwa usdt au stable coin yoyote unatunza pesa zako bila stress ya makato ya benki zetu na mifumo ya jadi
Ni vyema unajua maudhui ya huu Uzi, Yani LENGO kSasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanye
Wako legit lakini hakuna mkono wa gavo zaidi ya certificate tu na kama kumbukumbu yangu Iko sawa hii kampuni inausajili wa falme za kiarabuNi vyema unajua maudhui ya huu Uzi, Yani LENGO k
Ngoja mzozo wa Iran dhidi ya US na Israel upoe kwanza, tutaweka. Kwa sababu, Zile nyayanza mtandao zilizochininya sakafu ya Strait of Hormuz zikikatwa hiyo USDT inaweza kuwa negative.Na kwa wale wenzangu na mimi ambao mshahamia kwenye Binance na USDT hapa bongo, mnakutana na changamoto gani za kiutendaji au za kueleweka katika mazingira yetu? Weka maoni yako hapa chini tuchambue.
Mimi sizungumzii binance nazungumzia crypto assets especially stable coin ,unaweza kuhifadhi hata kwenye coldwalet ,conbase na zingine nyingiSasa mkuu wewe unajua hizo ads za Binnace Africa zilikuwa zinafanywa wapi? Africa operation zinafanyika wapi? Au unajua ni App tu ! 😂😂😂😂 Anyway kama kitu hakina mkono wa gavo na legit usifanye
This is so true nilibakishaga ka dollar 10Imagine mtu anaweka 80000Tsh then after month anacheck balance anakuta 62000Tsh na wengine wanakuta wako na chini ya hapo
At the same time ukidepost 100usdt after 3+months utakuta 100usdt
bank zitaendelea kua na umuhimu tu,, ukitoa hela binance wakala atatumia bank au mobile money kukupa hela.Office za hao runners zipo wapi?. Usije kuja na milio tofauti badae ,,Sio kila bank Ina makato ya kifala,,,
Wachache sana wanaoelewa mkuuThis is so true nilibakishaga ka dollar 10
Mwaka jana nimeangalia leo kapoView attachment 3661069
Kabisa!!Wachache sana wanaoelewa mkuu