duuuhh" Jamaa umeniletea kitu kipya kichwaniMaraisi weusi wa marekani kabla na baada ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
he he hee to a hoja mbona umesizi tu""😵 😵 😵 😵
wewe Jamaa vipi "" George picha yake ipo kwenye USD 1..Ebu zeeka taratibu basi secret star, ebu kuwa makini hata hapo chini yake pameandikwa Franklin alafu unasemaje George. ??
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] utasema na ile benki kwani imewahi kuwa RaisKwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
mmmhh"" kwahiyo sura ya mwinyi "iliwekwa kwa bahati mbaya " au ""?Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
Hehehehheheheheheh tembooooKwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kurlzawa! Umenishinda! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Nimecheka sana mbele ya wakwe na nomekuja kiposa mrembo[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Kusikia Abraham Lincoln alikuwa mweusi lazima usizi kidogo mate!..he he hee to a hoja mbona umesizi tu""
ha haha""hahaa ""Kusikia Abraham Lincoln alikuwa mweusi lazima usizi kidogo mate!..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Upuuzi mkubwa kuwahi kutokea dunianiNaamini miaka mia mbeleni wajukuu wetu wataweka picha ya Tundu Lissu kwenye shilingi yetu kuthamini Mchango wake kwa Taifa hili.
Vipi kuhusu mwinyi, aliye kwenye shilingi hamsini naye huenda alishakufa eti?Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
Mwaka 1775 wakati makoloni 13 ya Uingereza huko America yanajitangazia uhuru kutoka kwa Uingereza iliundwa Kamati ya watu 5 au The Comittee of Five iliyoundwa kuandaa mkataba wa kujitangazia Uhuru wa makoloni yao 13 au United States Declaration of Independence. Hii kamati ilihusishanakubaliana na wewe kabisa. ila sijaelewa tofauti ya Father of nation and Founding Father... Kama mtu anaweza kutafsri hayo maneno kwa kiswahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaan hata mimi nilishachoka kuona neno mchango mkubwa wakati nawaza kutype naona umenisaidia, asante sana.Ana mchango mkubwa, anamchango mkubwa lakini hamsemi ni mchango gani basi haina maana sasa ya kusema anamchango mkubwa...
aliyafanya hayo mwaka gani?View attachment 775262 Harriet Tubman
basi hapa umemaliza kazi mkuuMwaka 1775 wakati makoloni 13 ya Uingereza huko America yanajitangazia uhuru kutoka kwa Uingereza iliundwa Kamati ya watu 5 au The Comittee of Five iliyoundwa kuandaa mkataba wa kujitangazia Uhuru wa makoloni yao 13 au United States Declaration of Independence. Hii kamati ilihusishaHii kamati iliundwa na watu 7 waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye hayo makoloni wakati huo. Watu hao ndio wanajulikana kama Founding Fathers of the United States nao ni
- John Adams
- Thomas Jefferson
- Benjamin Franklin
- Roger Sherman
- Robert Livingston
Hawa Founding fathers ndio walisaini mkataba kusitisha vita uliojulikana kama Treaty of Paris. Baada ya kupata uhuru wao, wakaitisha Bunge la Kwanza kabisa (United States Congress) ili kuunda serikali ya kwanza na katiba yao kuirekebisha.
- John Adams
- Benjamin Franklin
- Alexander Hamilton
- John Jay
- Thomas Jefferson
- James Madison
- George Washington
George Washington ana tambulika kama Father of the Nation sababu alikuwa Jemedari (commander in chief) wakati wa mapigano. Baada ya kumalizika na wamepata uhuru, aliachia ngazi jeshini na sehemu zote ili Mkutano uamue nani kuwa kiongozi wa nchi yao huru sababu hakuwa anataka uongozi yeye alipigana ili wawe huru. Lakini kutokana na mchango wake na alivyokuwa anapendwa, Electoral College waliamua kumfanya kuwa Raisi wao wa kwanza (First president of the United States of America).