Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Maraisi weusi wa marekani kabla na baada ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
duuuhh" Jamaa umeniletea kitu kipya kichwani
 
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
mmmhh"" kwahiyo sura ya mwinyi "iliwekwa kwa bahati mbaya " au ""?
 
Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kurlzawa! Umenishinda! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha uongo mbona kibaki kawekwa kwenye pesa na bado yuko hai?
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
 
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
Vipi kuhusu mwinyi, aliye kwenye shilingi hamsini naye huenda alishakufa eti?
 
nakubaliana na wewe kabisa. ila sijaelewa tofauti ya Father of nation and Founding Father... Kama mtu anaweza kutafsri hayo maneno kwa kiswahili
Mwaka 1775 wakati makoloni 13 ya Uingereza huko America yanajitangazia uhuru kutoka kwa Uingereza iliundwa Kamati ya watu 5 au The Comittee of Five iliyoundwa kuandaa mkataba wa kujitangazia Uhuru wa makoloni yao 13 au United States Declaration of Independence. Hii kamati ilihusisha
  • John Adams
  • Thomas Jefferson
  • Benjamin Franklin
  • Roger Sherman
  • Robert Livingston
Kamati iliyohusika kuchagua hao watu 5 iliundwa na watu 7 waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye hayo makoloni 13 wakati huo. Watu hao ndio wanajulikana kama Founding Fathers of the United States nao ni
  1. John Adams
  2. Benjamin Franklin
  3. Alexander Hamilton
  4. John Jay
  5. Thomas Jefferson
  6. James Madison
  7. George Washington
Hawa Founding fathers ndio walisaini mkataba kusitisha vita uliojulikana kama Treaty of Paris. Baada ya kupata uhuru wao, wakaitisha Bunge la Kwanza kabisa (United States Congress) ili kuunda serikali ya kwanza na katiba yao kuirekebisha.
George Washington ana tambulika kama Father of the Nation sababu alikuwa Jemedari (commander in chief) wakati wa mapigano.
Baada ya kumalizika na wamepata uhuru, aliachia ngazi jeshini na sehemu zote ili Mkutano uamue nani kuwa kiongozi wa nchi yao huru sababu hakuwa anataka uongozi yeye alipigana ili wawe huru.
Lakini kutokana na mchango wake na alivyokuwa anapendwa, Electoral College waliamua kumfanya kuwa Raisi wao wa kwanza (First president of the United States of America).
Cc: hearly
 
Ana mchango mkubwa, anamchango mkubwa lakini hamsemi ni mchango gani basi haina maana sasa ya kusema anamchango mkubwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaan hata mimi nilishachoka kuona neno mchango mkubwa wakati nawaza kutype naona umenisaidia, asante sana.
 
Mwaka 1775 wakati makoloni 13 ya Uingereza huko America yanajitangazia uhuru kutoka kwa Uingereza iliundwa Kamati ya watu 5 au The Comittee of Five iliyoundwa kuandaa mkataba wa kujitangazia Uhuru wa makoloni yao 13 au United States Declaration of Independence. Hii kamati ilihusisha
  • John Adams
  • Thomas Jefferson
  • Benjamin Franklin
  • Roger Sherman
  • Robert Livingston
Hii kamati iliundwa na watu 7 waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye hayo makoloni wakati huo. Watu hao ndio wanajulikana kama Founding Fathers of the United States nao ni
  1. John Adams
  2. Benjamin Franklin
  3. Alexander Hamilton
  4. John Jay
  5. Thomas Jefferson
  6. James Madison
  7. George Washington
Hawa Founding fathers ndio walisaini mkataba kusitisha vita uliojulikana kama Treaty of Paris. Baada ya kupata uhuru wao, wakaitisha Bunge la Kwanza kabisa (United States Congress) ili kuunda serikali ya kwanza na katiba yao kuirekebisha.
George Washington ana tambulika kama Father of the Nation sababu alikuwa Jemedari (commander in chief) wakati wa mapigano. Baada ya kumalizika na wamepata uhuru, aliachia ngazi jeshini na sehemu zote ili Mkutano uamue nani kuwa kiongozi wa nchi yao huru sababu hakuwa anataka uongozi yeye alipigana ili wawe huru. Lakini kutokana na mchango wake na alivyokuwa anapendwa, Electoral College waliamua kumfanya kuwa Raisi wao wa kwanza (First president of the United States of America).
basi hapa umemaliza kazi mkuu
 
Back
Top Bottom