Ole-Langoi
Member
- Dec 7, 2017
- 62
- 33
Wewe unataka ukapange mashambulizi ya kulipa benki kwa mabomu yako ulikula maharagwe na kuzindikiza na mbege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kwenda bank wakati vyuo au shule zimefunguliwa uone foleni lake? unaweza maliza hata masaa mawili hujapata huduma...Banki ni sehem ambayo hutakiwi kukaa muda mrefu... ikizidi sana ni dakika tano sasa hiyo haja anaitoa wapi ndani ya dakika tano? ukikaa sana pia si vizuri kiulinzi.
Vipi kuhusu mgonjwa wa kisukari asiende benk kwa kuwa atakuwa anahitaji kukojoa mara kwa mara na hakuna huduma ya choo?Si ukate GOGO kabisa huko utokako kabla ya kwenda benki jamani!!!!!
Sidhani kama unazifahamu benki za inji hii.Banki ni sehem ambayo hutakiwi kukaa muda mrefu... ikizidi sana ni dakika tano sasa hiyo haja anaitoa wapi ndani ya dakika tano? ukikaa sana pia si vizuri kiulinzi.
Mkuu ndio maana kuna altenative Chanel Business kama Kutumia ATM, Mobile phone, internet banking n.k... sasa wewe unaona kabisa bank kuna folen halafu unajiunga nayo. tafuta bank ambazo hazina foleni sana. unang'ang'ania banki utafikiri ni mzazi?
Malipo mengine ni lazima yapitie bank fulani....na huwezi kulipia mtandaoni ni lazma uende dirishani...Mkuu ndio maana kuna altenative Chanel Business kama Kutumia ATM, Mobile phone, internet banking n.k... sasa wewe unaona kabisa bank kuna folen halafu unajiunga nayo. tafuta bank ambazo hazina foleni sana. unang'ang'ania banki utafikiri ni mzazi?
Banki ni sehem ambayo hutakiwi kukaa muda mrefu... ikizidi sana ni dakika tano sasa hiyo haja anaitoa wapi ndani ya dakika tano? ukikaa sana pia si vizuri kiulinzi.
Halaf nilichogundua, kuna watu huwa wanadhani Tanzania ni Dar tu.Mkuu ndio maana kuna altenative Chanel Business kama Kutumia ATM, Mobile phone, internet banking n.k... sasa wewe unaona kabisa bank kuna folen halafu unajiunga nayo. tafuta bank ambazo hazina foleni sana. unang'ang'ania banki utafikiri ni mzazi?
kuujaza form ya mkopo inachukua dk 5..? na zile foleni za kaunta ni dk 5..?... kama tunapanga foleni ili kupata huduma zikizidi dk 5 wawe wanatufukuza coz si salama sisi kuwepo zaidi ya dk 5Banki ni sehem ambayo hutakiwi kukaa muda mrefu... ikizidi sana ni dakika tano sasa hiyo haja anaitoa wapi ndani ya dakika tano? ukikaa sana pia si vizuri kiulinzi.
magogo mengine mpwa huja ghafla hasa vyakula vyetu tunavyokula vinatusuplaizi sana kwenye umatiSi ukate GOGO kabisa huko utokako kabla ya kwenda benki jamani!!!!!
mueleze, Kuna chuo kimoja wanapokea ada kupitia benki flani ukienda kipindi cha deadline ya kulipia ada unaweza juta foleni mpaka njeUshawahi kwenda bank wakati vyuo au shule zimefunguliwa uone foleni lake? unaweza maliza hata masaa mawili hujapata huduma...
kuna mdau juu kule kasema ukikaa zaidi ya dk5 si salama, sasa unapopata kahawa unatumia dk ngapi shekhee..?Ukitaka hizo huduma jiunge na premier account, makati yawe mengi upate huduma unayoitaka
Mimi huwa sijisumbui naingia zangu azikiwe premier hapo unakunywa hadi kahawa, au nbc corporate pale full cappuccino sijui chocolate tea na sijajisajili kwa huduma hizo na chooni ninaenda, foleni unakaa kwenye sofa siyo viti vya chuma