Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Hilo swala la kupora/kuchora ramani linatoka wapi? Choo cha wateja si wakiweke kule nje getini wanapokaa walinzi? Choo kisiwe kwenye main structure. Kiwe choo tu cha nje.
Wazo zuri
 
Zamani mteja kukaa benk ilikuwa chini ya nusu saa, leo wakati mwingine ni zaidi ya masaa 6!. Si vyoo tu, kwa sasa hata migahawa na grocery zinatakiwa ziwepo bank.
 
Vyoo vipi nimeenda nmb crdb nbc mikoa tofaut tofaut nikipa shida naomba walinzi wananielekeza under escort lakini
 
Ukiruhusu kuwepo na choo benk unaCreate mwanya kupitia icho choo kupanga njama za kukwapua au choo kua daraja la wiz
 
Wakiweka choo pia inabidi waweke CCTV camera ili msifanye mipango ya uvamizi
 
kweli umefikiria mbali! Sijawahi kuona huduma hiyo kwenye benki yoyote. unakutana na foleni kubwa, lakini hakuna huduma hii kwa wateja. Nadhani BoT ifikirie kuwa kigezo kimojawapo cha kufungua tawi lolote la benk
 
Wakiweka choo pia inabidi waweke CCTV camera ili msifanye mipango ya uvamizi
Sio lazima kiwe mle ndani, kwani kwenye viwanja vya ndege kuna CCTV camera? mbona hududma hii ipo? Itakavyokuwa lakini ni huduma muhimu
 
Unataka ukadeposit hela na mav huoni ukienda kuwithdraw utatoka na mzigo mkubwa sana
 
Hawana vyoo kwa sababu wanaogopa watu kwenda huko kwa gear ya kujisaidia kumbe wanakwenda kuangalia namna ya kubomoa ukuta ili waende kuiba hela.
 
Benki wanauza chakula mpaka ukifika pale uwekewe na huduma ya kukata gogo?Ukiona tumbo lako haliko vizuri,tulia nyumbani kwanza mpaka mambo yawe sawa.
 
Vyoo vipo siku nyingine uulize. MI nimeshatumia pale CRDB AZIKIWE
 
Wewe unataka ukapange mashambulizi ya kulipa benki kwa mabomu yako ulikula maharagwe na kuzindikiza na mbege.
 
Back
Top Bottom