Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Huyu anaesema unaenda kuweka hela au kutoa na sio kukata gogo anakosea kwani Haja kubwa au ndogo hazina taarifa we vip
Hii hoja ni nzuri lakini naona watu wanaifanyia mzaha, sio vizuri usubiri hadi upate tatizo ndio ujue umuhimu wa kitu
 
Vyoo vipo lakini ni kwa staff tuuu
 
Meneja alikuwa huko chooni badala ya kuwahudumia wateja?
Kasome vizuri nilichoandika. Halafu kukusaidia tu kuna Banks ni ndogo kuna glass partition, ningekutajia jina la benki ili ujue ofisi ya meneja ilipo na choo kilipo lakini sidhani kama ni busara.
 
Kila benki branch ina choo karibu. Ila Finca unakoweka pesa zako nina wasiwasi hakuna vyoo
 
Tatizo mkiwekewa vyoo hamkawii kukata gogo pembeni ndo shida yenu hiyo, mkaanza kuwapa shida wafanya usafi.
 
Yah..... Sijaona kabisa hiyo kitu kwa ajili ya wateja!


Walishabaini jamaa wanaweza kutumia WC kama fursa kuimaliza bank, ila very soon nahisi ile bank iliyojaa ubunifu "the bank that listens" wataanza kutoa Shs 200 kwa wateja wanaotaka kwenda huko
 
Ni kwa ajili tu ya usalama
Ila kama ukihitaji hiyo huduma unapata baada ya kujiridhisha kuwa hutoleta madhara
 
Wewe Bank umeenda kupata huduma ya choo au kutoa na kuweka hela..!??? Na vilee Bank zipo Mjini watuu watakua wanaend tu kujisaidia hata kama hawahitaji huduma za Kibank... na vitakua Vichafu sanaaaa yani sanaa...maana watu ustaarabu zerooo
Hamna bana mbona tra wana huduma ya vyoo kwa eateja wao na ni visafi tuu
 
Back
Top Bottom