Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Aisee we ndugu nimekupenda bure!! Swali fikirishi na la msingi ila tunachukulia for granted tu. Kama stendi, kanisani, sokoni, hospitalini, shuleni n.k. kuna vyoo, kwa nini benki hazitujengei vyoo sie wateja wakati tunakaaga humo benki sometimes for hours? Na mie nasubiri majibu aisee...Ni hilo tu kwa leo...kama unafahamu sababu tuambie ,unaingia mle gogo likibana unasamehe foleni unasepa...kwamba hawawajali wateja? ...ni nini...au haimo kwenye requirements za BOT for one to qualify for a desired facility...