makwinya msafiri
Member
- Jan 20, 2015
- 28
- 13
ukweli ata mi linanishangaza sn.nilisha wahi kumuuliza meneja wa bank fulan rkn nilikosa jibu la maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is the main point. Service should be pretty quick. And why should one que inside the bank when an ATM outside will serve the purpose? A solution should also be found for people depositing school fees especially in January.
Wenye pesa ni wachache tofauti na wenye magogo, kojo n.k
Biashara ya kutunza pesa ina faida zaidi ya ile ya kutunza naniii...!!!
Bank zamani hazikuhitaji huduma ya vyo kwa wateja, kwa sasa ni lazima. Huduma ndani ya benki zetu siku hizi huchukua muda mrefu, wakati mwingine hata saa 8! NMB, CRDB hapa tabora ni mifano hai ya foleni ndefu kupindukia. Si vyoo tu, kwa foleni hizi hata migahawa na grocery ni mahali pake!
Benki pesa tu! Kunya kwenu. Tukikuwekea choo then utadai mgahawa na baa.Habari wakuu? Katika matumizi yangu ya benki mbalimbali, nimegundua kwamba mabenki hayana vyoo vya wateja na ukizingatia kwamba baadhi ya benki zina foleni znazoweza kumfanya mteja asubiri hata zaidi ya lisaa limoja.
Je ni sababu za kiusalama au kimazingira? Kuna siku nilimshuhudia dada aliyebanwa na haja benki akikamatwa na polisi kisa ameenda chooni.
Karibuni kwa hoja.
withdrawal(amount) limit from ATM`s..our banking systems face challenges across many dimensions.the pace for technological revolution of retail banking is still unconvincing.however the future is promising, following high increase of new commercial banks offering better services at competitive packages...
Kwani shule unaenda kusoma au kukata gogo ama kukojoaBank unaenda kuweka/ kuchukua hela au kukata gogo?
Bank unaenda kuweka/ kuchukua hela au kukata gogo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani shule unaenda kusoma au kukata gogo ama kukojoa