KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Point! Tatizo ni wabinafsi sana wao kazi wakisha pata faida basi hawaja na haja zetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu na mie nimelipenda jina lako miss chagga ............
wanasema ukienda benki uwe na hja moja tu ya hela basi nyingine ziache nje.... pia vyoo vinaweza kutumika kufanyia matukio
akuna vyoo wanapiga hivi
tukiwaaingiza na choo si watapiga benki nzima
Sasa inakuaje nikianza kuendesha ghafla
Ni kweli kupigwa inaweza kuwa rahisi kama watu wenye nia mbaya wakiamua kufanya hivyo.
Mtazamo wangu ni kwamba kuweka vyoo inawezekena ila swala la usalama itabidi lipewe kipaumbele. Waweke screening machines kukagua wateja ili watu wasiingie na vitu hatarishi kama mabomu nk.
huyo atakayekuwa anaangalia kwenye screen ni balaa .. kuna baadhi ya bank screen zao zinaonekana yani mtu kaingia toi tuone kazi hazitafanyika mkuu acha kabisa
Ha ha ha ha
Itabidi uwekwe kwenye entrance sio vyooni. ..Wakifunga camera vyooni mbona itakuwa majanga. ...
wanasema ukienda benki uwe na hja moja tu ya hela basi nyingine ziache nje.... pia vyoo vinaweza kutumika kufanyia matukio
Kweli kabisa, labda viwe mbali kidogo, nje ya Bank, vikiwa karibu na Bank, wazee wa kazi wataanza kujikoki vizuri humo, wakitoka, patachimbika noma!
Safi sana..karibu Exim mkuu tupo pamojaMoja kat ya BOT inspection b4 bank haijapewa go ahead kuanza operation ni public toilet kwa ajir ya wateja ni kwel baadhi ya majengo zimejificha ila ukiwauliza walinz wanakuonyesha, kuhusu folen NMB CRDB nsha hama cku nyiiingiii bank ka Exim mpango mzima staff vijana wako sharp n smart brand yao nzur sana kwa kwel hamien huku q management system wanazo pia!
Habari wakuu? Katka matumizi yangu ya benki mbalimbali nmegundua kwamba mabenki hayana vyoo vya wateja na ukizingatia kwamba baadhi ya benki zina foleni znazoweza kumfanya mteja asubiri hata zaidi ya lisaa limoja, je ni 7bu za kiusalama au kimazingira?kuna cku nlimshuhudia dada aliyebanwa na haja benk akikamatwa na polisi kisa ameenda chooni....karibuni kwa hoja.