Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obviously they have washrooms for employees. But banks have to be very careful because of the cash, they have always been targeted for robberies. Therefore, all customers need to be within sight at all times (by employees and cameras).
bank business nature should be pretty quick ..although the reality isnt the case,particulary to developing countries.Je, kujisaidia nako inabidi wawe " visible" by all the concerns?
Utafutwe tu mfumo ambao unaweza msaidia mteja kujisaidia kwa namna moja ama nyingine kwani kuna wengine ni "FISTULA" victims.
bank business nature should be pretty quick ..although the reality isnt the case,particulary to developing countries...
talking of ''visibility'' ,I actually mean within a watchful eye...not staring non stop..
..those cases of ''FISTULA'' might happen anywhere,(not only to bank),where others are not granted access...
Habari wakuu?katka matumizi yangu ya benki mbalimbali nmegundua kwamba mabenki hayana vyoo vya wateja na ukizingatia kwamba baadhi ya benki zina foleni znazoweza kumfanya mteja asubiri hata zaidi ya lisaa limoja, je ni 7bu za kiusalama au kimazingira?kuna cku nlimshuhudia dada aliyebanwa na haja benk akikamatwa na polisi kisa ameenda chooni....karibuni kwa hoja.
bare this in mind,in most cases there are nearby public washrooms,though not necessarly within bank premises.When dealing with ''people`s money'',security is the utmost priority,.HOW WILL YOU PROVE beyond reasonable doubt,The "FISTULA'' thing,and not a conspiracy for the bandits?.Remember its a not a healthy institution.Freebooters with unlawful intentions would just formulate excuses to be granted access to key areas and SUCCESSFULLY carry out their pre-drafted missions..
Bank sio kijiweni, hakupaswi kusubiriana hapo, ni mahali pa kuchukua pesa na kusepa so we unataka kufanya ni kwako hapo upate huduma zote hapo! But kama ni hela kunawatu wanaweka zaidi ya 500 milion kwa siku na hadai huduma ya choo, sembuse wewe unayeweka vimilioni vichache unalazimisha upate huduma ya choo hapo!?
Habari wakuu? Katika matumizi yangu ya benki mbalimbali, nimegundua kwamba mabenki hayana vyoo vya wateja na ukizingatia kwamba baadhi ya benki zina foleni znazoweza kumfanya mteja asubiri hata zaidi ya lisaa limoja.
Je ni sababu za kiusalama au kimazingira? Kuna siku nilimshuhudia dada aliyebanwa na haja benki akikamatwa na polisi kisa ameenda chooni.
Karibuni kwa hoja.
bank business nature should be pretty quick ..although the reality isnt the case,particulary to developing countries...
talking of ''visibility'' ,I actually mean within a watchful eye...not staring non stop..
..those cases of ''FISTULA'' might happen anywhere,(not only to bank),where others are not granted access...