Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
We naye kama hujui kitu kaa kimya. Kuna Black Saudis, kuna black Iraqis, kuna Black Iranians and the list goes on. Penda kutafiti kabla hujaandika. Wapo Black Moroccans wapo Black Algerians. Sema si wengi kama waliopo Ulaya na Marekani.Mwarabu hakumpeleka mtu mweusi kwao na ndio maana hakuna race ya black uko arabuni, mwarabu alimuuzia mzungu..
Pia ayo ndio mambo yanayotudumaza waafrica, tunasoma vitu visivyo na tija wakat wenzetu wanakomaa na technologia