Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
We naye kama hujui kitu kaa kimya. Kuna Black Saudis, kuna black Iraqis, kuna Black Iranians and the list goes on. Penda kutafiti kabla hujaandika. Wapo Black Moroccans wapo Black Algerians. Sema si wengi kama waliopo Ulaya na Marekani.Mwarabu hakumpeleka mtu mweusi kwao na ndio maana hakuna race ya black uko arabuni, mwarabu alimuuzia mzungu..
Pia ayo ndio mambo yanayotudumaza waafrica, tunasoma vitu visivyo na tija wakat wenzetu wanakomaa na technologia
Mie mwenyewe nina asili ya weusi kutokana na mama yangu ni mtanzania ila baba yangu ni raia wa Oman hadi sasa japokuwa anaishi Tanzania miaka na miaka.We naye kama hujui kitu kaa kimya. Kuna Black Saudis, kuna black Iraqis, kuna Black Iranians and the list goes on. Penda kutafiti kabla hujaandika. Wapo Black Moroccans wapo Black Algerians. Sema si wengi kama waliopo Ulaya na Marekani.
Na wewe acha kukurupuka soma between the line..huyo haamini si Uislam wala Ukristo. Unaanza tu kumuita sijui mgalatia.Stori za kusadikika izo naweza sema za kwenye kahawa, huwa mkikaa mnadanganyana mzehe,,, swala hili huna uhakikanalo, bali chuki zinawaendesha dhidi ya waarabu/uisilamu, na munaendelea kuwakalilisha watoto, wajukuu na vitukuu vyenu huu ujinga mliokalilishwa na mababu/kijitabu cha kihistoria.
Swali langu ni ivi ewe mgalatia! Unachokiongea nikwamba hakimake sense bali umeckia. Swalii wakati wanafanyiwa wagalatia wenzio huo unyambafu mliokalilishwa, je! ulikuwepo na ukashuudia tukio ilo???? Plz Usikimbie mzehe.
Mkuu hujui ww, Oman kuna sehem inaitwa Salala hapo kuna watu weusi kama wakurya tena wana nywele ngumu haswaa, ila ni raia wa Oman. Pia kuna sehem inaitwa Maabela hapo pia watu weusi ni wengi.
N
Na wewe acha kukurupuka soma between the line..huyo haamini si Uislam wala Ukristo. Unaanza tu kumuita sijui mgalatia.
Mkuu hats Kam hiyo ndio Imani yako...ukweli unabaki kuwa Waarabu na Wazungu ,walitufanuia Ushenzi ukiwemo Utumwa k2w Mgongo was Dini za Kiaaslam na Ukristo ...ndio.maana wengine kuonesha Uungwana walishaomba Msamaha!
Waarabu wametuletea dini na utumwa kwa pamoja. Tumeamua kusomea dini tuKule utakuta trans antlantic slave trade lakini hii ya watumwa kupekwa uarabuni huwa haifundishwi. Why?
Nyinyi watu ni mataahira au?
Mnabisha historia wakati leo hii tunavyoandika Waarabu wengi tu wana watumwa wa kiafrika (wabantu).
Muda huu huu sasa hivi kuna watumwa wa kibantu wengi tu kwenye nchi za bara Arabu na Maghreb.
Achia mbali watumwa wa kifikra wa waarabu kama wewe ambao mpo mamilioni.
Wapo Uarabuni wengi tu.Hao wa2mwa wakwapi ivi sasa?
Huyo Pagan. Aah mie mwenyewe wakati mwingine dini zanivuruga akili yangu tu. Ila jambo moja napinga. Mi naona sie weusi ndo watu wa ovyo kuwahi kutokea kuliko hao weupe. Sababu watu gani tunahujumiana, kuuana sie kwa sie, kurogana, roho mbaya. Bora wenzetu waarabu kwa wazungu wanathaminiana wanashikana mikonoKwamba ni pagani mzehe Ruta 😁😁
Hahhaa Mkuu Ruta, karibu katika uisilamuHuyo Pagan. Aah mie mwenyewe wakati mwingine dini zanivuruga akili yangu tu. Ila jambo moja napinga. Mi naona sie weusi ndo watu wa ovyo kuwahi kutokea kuliko hao weupe. Sababu watu gani tunahujumiana, kuuana sie kwa sie, kurogana, roho mbaya. Bora wenzetu waarabu kwa wazungu wanathaminiana wanashikana mikono
Mi nionavyo naona sie ndo tuna roho mbaya na watu wa ovyo kabisa.
Labda hujawahi kuishi na hao watu.Huyo Pagan. Aah mie mwenyewe wakati mwingine dini zanivuruga akili yangu tu. Ila jambo moja napinga. Mi naona sie weusi ndo watu wa ovyo kuwahi kutokea kuliko hao weupe. Sababu watu gani tunahujumiana, kuuana sie kwa sie, kurogana, roho mbaya. Bora wenzetu waarabu kwa wazungu wanathaminiana wanashikana mikono
Mi nionavyo naona sie ndo tuna roho mbaya na watu wa ovyo kabisa.
Hapana , picha hii si kweli hasa kuhusu Afrika ya Mashariki.Kwa ufupi tu watumwa wengi walichukuliwa Afrika kwa madhumuni ya kwenda kufanyishwa kazi za mashambani.
Waarabu kwao ilikua ni jangwa na ukame tu, ni watumwa wachache waliopelekwa huko kufanya kazi za ndani na sio za uzalishaji.
Watumwa wengi walipelekwa zaidi bara la Amerika kusini kwenye mashamba ya miwa.
The fact that you have a demand for such kind of a commodity.Hapana , picha hii si kweli hasa kuhusu Afrika ya Mashariki.
Ni kweli kuhusu Afrika ya Magharibi (yaani Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki). Upande wa Mashariki picha ilikuwa ya mchanganyiko zaidi.
Halafu kuna udhaifu kama ni Waarabu pekee wanaoonyeshwa kama wafanyabiashara wa watumwa. Maana biashara huwa na pande mbili. Mnunuzi na mwuuzaji. Nani aliuza watumwa walionunuliwa na Waarabu?
Si walikuwa machifu Waafrika, wakubwa kama Mirambo na kadhalika?
Waalikuwa wana wahasi.... So hawakuzalianaMwarabu hakumpeleka mtu mweusi kwao na ndio maana hakuna race ya black uko arabuni, mwarabu alimuuzia mzungu..
Pia ayo ndio mambo yanayotudumaza waafrica, tunasoma vitu visivyo na tija wakat wenzetu wanakomaa na technologia
Utofauti mkubwa uliopo kati ya wazungu ni waarabu ni huu: UUNGWANA WA KUKIRI MAKOSA.Hakuna mtu asie na ubaguzi kama mwarab, ndio maana hata hapa Tanzania kuna machotara wengi wa Kiarabu kulikon wa kihindi au Kizungu.
Mwarab ana kizaz kila kona ya Tanzania hii.
Wala usigadhibike maana wote hatuwezi kufikiri sawa, muhimu ni kwamba wasijaribu kupindisha ukweli (Be Smarter Than History) ili kutaka kupunguza maumivu ambayo jamii fulani imeyapitia. Unajua huwa tunasema hivi "Everybody is entitled to his opinion, but not facts"....Yaani nikiona jitu jeusi Tena limatumbi linawatetea hao washenzi hua naghadhabika Sana,
Japo watu weusi tulikua na tuna matatizo yetu ila ule ushenzi waliotufanyia jamii za watu wa Mashariki ya kati na Ulaya haukubaliki