Kwanini Biashara ya Watumwa ya Waarabu haiongelewi shuleni?

Mtawachukia sana waarabu/waisilamu na kuupiga vita uisilamu lakini mujuwe yakwamba munapoteza muda wenu. Fanyeni kazi acheni majungu na roho za kwanini/ kuoneana wivu na chuki kwa ujumla.
Mkuu wao wenyewe wanatubagua sisi mbona niwakarim
 
Mkuu hujui ww, Oman kuna sehem inaitwa Salala hapo kuna watu weusi kama wakurya tena wana nywele ngumu haswaa, ila ni raia wa Oman. Pia kuna sehem inaitwa Maabela hapo pia watu weusi ni wengi.
Hao wamenyweshwa maji ya chuki basi wanajisemea tu hata hawafanyi utafiti kuthibitisha waliyokaririshwa.
 
Kule uarabuni waafrica walikuepo castrated ili wasizaliane kabisa
Wacha uongo wewe, hebu jaribu kusearch kwenye mtandao uone kama hakuna watu weusi.

Pia huwezi kulinganishwa idadi ya watu weusi waliokwenda Amerika na waliokwenda Uarabuni, wa Uarabuni ni kidogo kwa hivyo idadi yao lazima itakuwa ndogo.
 
Hatuongelei dini mkuu. Ni uhalisia wa history tuu.

"Thus, women slaves in the Arab world were often turned into concubines living in harems, and rarely as wives, their children becoming free. A large number of male slaves and young boys were castrated and turned into eunuchs who kept watch over the harems. Castration was a particularly brutal operation with a survival rate of only 10%...

"The combined effect of all these factors,” says Duncan Clarke, “was a steady demand for slaves throughout the Arab world..

David Livingstone, the British missionary/traveller/explorer was so upset by the way the Arabs treated their African slaves that he wrote back home in 1870:
“In less than a day I take to talk about it, these unfortunate creatures — 84 of them, wended their way into the village where we were. Some of them, the eldest, were women from 20 to 22 years of age, and there were youths from 18 to 19, but the large majority was made up of boys and girls from 7 years to 14 or 15 years of age..


Then, between 1600 and 1800, another 1.4 million Africans were shipped out by the Arabs. The 19th century represented the highest point of the Arabian trade where 12,000 Africans were shipped out every year. The total figure for the 19th century alone was 1.2 million slaves to Arabia...


 

Hamuna ushaidi bali munafata historia ziczo na uhalisia wowote, na vile vile maneno ya mitaani 😁 nchi za waarabu kuna weuc pia ambao ni "waarabu weuc" hawajui kiswahili, lugha rasimi wanayozungumza ni arabic, na wanazaana kama kawaida. Sasa hao waliohasiwa waliwezaje kuwazaa hawa wanaozaa na kupata watoto!!!! Kuwa serious kijana.
 
Dogo, hao unaozungumzia ni wahamiaji wa karibuni tu
 
"Biashara ya Waarabu kuhusu watumwa ilidumu miaka 1,300, na kupeleka mamilioni ya Waafrika, hasa wanawake, upande wa Asia...

 

Hakuna ukweli wowote hapo,,,munasema waliopelekwa utumwani (uarabuni) wamehasiwa, sasa kama wamehasiwa watazaaje/watapataje watoto!!!! Labda hukoo marekani/brazili walikopelekwa kwenye mashamba apo sawa.
 
Dogo, hao unaozungumzia ni wahamiaji wa karibuni tu

Tusiitane dogo kijana tafazali!

Kama hujui ni heri ukatuliazako pembeni kuriko kuongea usichokijuwa,,,nimetembea moja ya nchi ya waarabu nikajionea babu, ni kwamba wale ni wazawa na hawajui kiswahili,,na life yao ni best kuliko ninyi huko tandale cjui wapi hukoo mtajuwa wenyewe
 
,,,nimetembea moja ya nchi ya waarabu nikajionea babu, ni kwamba wale ni wazawa na hawajui kiswahili
Usikariri..
Kiswahili kinahusika vipi?!
Siyo watumwa wote walichukuliwa Tanzania.
 
Mkuu,,,kuna jamii apa duniani wa2 wake wakalimu kama waarabu, afu wanaimani kwelikweli! Co kwamba nawatetea, nawajuwa vizuri japo co wote wazuri. But, asilimia kubwa wako vizuli sana mzehe.
Baadhi ya waarabu ni wabaguzi tu.

Soma hapa:

 
Usikariri..
Kiswahili kinahusika vipi?!
Siyo watumwa wote walichukuliwa Tanzania.

Tatizo unaongea ucchokijuwa chifu, kama ni chuki bac punguza au acha kabisa. Maana ya kusema lugha yao rasimi ni kiarabu utakuwa umenierewa. Tatizo lenu mnakaririshwa, tembeeni mjionee co kukaa sehemu moja na kukaririshana chuki/uongo.


Kwaheri. Kuna game ya spain na ufaransa. Karibu tucheki chifu.
 

WACHA KUJIPAKAZIA PADRI WEWE
 
Kwahyo Kwa logic zako kama jamaa hakuwepo ndo hamna ushahidi basi hata wazungu hawakufanya utumwa... inshort utumwa hakuwahi kutokea
 
Kuna professor alisema "Islam is to a man like rabid to a dog" yaani Uislam akilini mwa binadamu Ni kama Ukichaa akilini mwa mbwa...Yani kupona Ni miujiza
Mimi nasema Uislam Ni Zaidi ya Opium Na Heroin kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…