Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Sasa hapa ndio nimeanza kukuelewa kwa mbaaaali mkuu...China kawekeza sana kwenye mitambo mikubwa (Machine) na magari makubwa(Heavy duty) na light duty.
Kwa sasa ukitembea barabarani kwenye gari kubwa uwezi kukosa gari ya kichina iwe ni basi au roli.Kwenye mabasi Maroli ndio anazidi kushika Kasi Kwa huku Africa.
"Ndugu zangu, China ni marafiki wa kweli!"~ Dkt. JPMHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?
View attachment 1634465
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.
Utagundua ya kuwa 98% ya gari zilizopo hapo ni za kutoka Japan (Toyota, Honda, Nissan, Suzuki, Mazda, Mitsubishi, Subaru, Isuzu) lakini bidhaa zingine madukani ni za kutoka nchini China. Why this? What's wrong with chinese automobile industry?
TAKWIMU NDOGO YA BIASHARA BAINA YA CHINA NA AFRIKA KWA MWAKA 2019
=====
According to statistics from the General Administration of Customs of China, in January-June, China’s total import and export volume with Africa was US$101.86 billion, up 2.9% year on year, exceeding the overall growth rate of foreign trade in the same period by 4.9 percentage points.
View attachment 1634490
Among these, China’s exports to Africa were US$52.86 billion, up 5.2% year on year and China’s imports from Africa were US$49.00 billion, up 0.5% year on year; the trade surplus was US$3.86 billion, up 159.0% year on year.
In June, China’s total import and export volume with Africa was US$17.09 billion, up 2.3% year on year. Among these, China’s exports to Africa were US$9.29 billion, up 0.3% year on year; China’s imports from Africa were US$7.79 billion, up 4.7% year on year; the trade surplus was US$1.50 billion, down 17.6% year on year.
In January-June, the growth rate of China’s trade with Africa was lower than those with Oceania(6.2%) and Europe(3.9%).
=====
View attachment 1634489
Kwanini magari kutoka China sio bidhaa maarufu hapa Africa (Tanzania) kama bidhaa zingine zilizojaa katika masoko/maduka yetu?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kwanini inakuwa hivi mkuu? Miundo mbinu mibovu kama sisi Afrika au wachina sio wastaarabu katika matumizi ya vyombo hivi vya moto?...Mchina ni kama muafrika tu,
Second hand yao ni gari inakuwa scrapers kabisa.
Hakika ni imara. Kuna mjomba wangu mmoja anamiliki Cresta GX-100 number "A" ila ukiiona utasema number "D"...Japan wamewekeza vyema kwenye soko la magari tena wanatufaa zaidi kwasababu magari tunayoagiza ni mtumba lakini imara sana na kwa bei nafuu
Aiseeee!!!Labda wa sababu barabara nyingi za Afrika zinafadhiliwa na pesa za Wajapani ndio maana wanataka magari yao pekee ndio yapite katika barabara hizo.
Sina uhakika lakini nimeotea tu.
NomaHakika ni imara. Kuna mjomba wangu mmoja anamiliki Cresta GX-100 number "A" ila ukiiona utasema number "D"...
Mkuu, tumeanza kutumia gari za Japan muda mrefu sana lakini kwanini hakuna "domestic products" zao madukani/masokoni mwetu?Washatoa madogo kwa ajili ya TPDF mkuu vizuri kama SUZUKI JIMNY model mpya.
Na bidhaa feki nyingi sana kutoka china usisahau hilo pia.Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.
Mkuu, ina maana China wanaweza kutengeneza "bidhaa feki" za kutumia wao wenyewe?Na bidhaa feki nyingi sana kutoka china usisahau hilo pia.
Hapana. mchina hatengenezi bidhaa feki kwa ajili ya china na hakuna bidhaa feki inauzwa china kwa ajili wachina bali ni kwa ajili ya afticaMkuu, ina maana China wanaweza kutengeneza "bidhaa feki" za kutumia wao wenyewe?
Ninapoulizia kuhusiana na suala la "second-hand" vehicle kutoka China ninakuwa na maana kwamba, ni zile ambazo wametumia wao wenyewe kwanza kisha zinaletwa huku Afrika.
Eish! Second hand kwa Mchina? Labda kama unataka skrepa!Kwani China hakuna "second-hand" vehicles?
Kwanini magari "second-hand" ya mchina yanakuwa scrape tofauti na mjapan ilhali wao ni taifa la pili kwa ukubwa baada ya Marekani?Eish! Second hand kwa Mchina? Labda kama unataka skrepa!
Sawa boss. Asante sanaKiufupi Mleta Mada yupo Shallow sana...
Yapo mengi kama ambavyo "domestic products" zao zilivyojaa madukani mwetu?Magari ya China mbona yapo mengi sana tu