Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

China kawekeza sana kwenye mitambo mikubwa (Machine) na magari makubwa(Heavy duty) na light duty.

Kwa sasa ukitembea barabarani kwenye gari kubwa uwezi kukosa gari ya kichina iwe ni basi au roli.Kwenye mabasi Maroli ndio anazidi kushika Kasi Kwa huku Africa.

Magari madogo anatengeneza kama hizo Foton Sullivan,Wingle/Great wall na Haval.Gari ndogo kama pickup za Great Wall injini katumia za Isuzu.Itafika kipindi gari zake ndogo zitasambaa akiwekeza sana kuzalisha na bei ikiwa wateja wa Africa wanamudu.
 
China kawekeza sana kwenye mitambo mikubwa (Machine) na magari makubwa(Heavy duty) na light duty.

Kwa sasa ukitembea barabarani kwenye gari kubwa uwezi kukosa gari ya kichina iwe ni basi au roli.Kwenye mabasi Maroli ndio anazidi kushika Kasi Kwa huku Africa.
Sasa hapa ndio nimeanza kukuelewa kwa mbaaaali mkuu...
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

View attachment 1634465

Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.

Utagundua ya kuwa 98% ya gari zilizopo hapo ni za kutoka Japan (Toyota, Honda, Nissan, Suzuki, Mazda, Mitsubishi, Subaru, Isuzu) lakini bidhaa zingine madukani ni za kutoka nchini China. Why this? What's wrong with chinese automobile industry?

TAKWIMU NDOGO YA BIASHARA BAINA YA CHINA NA AFRIKA KWA MWAKA 2019
=====
According to statistics from the General Administration of Customs of China, in January-June, China’s total import and export volume with Africa was US$101.86 billion, up 2.9% year on year, exceeding the overall growth rate of foreign trade in the same period by 4.9 percentage points.

View attachment 1634490

Among these, China’s exports to Africa were US$52.86 billion, up 5.2% year on year and China’s imports from Africa were US$49.00 billion, up 0.5% year on year; the trade surplus was US$3.86 billion, up 159.0% year on year.

In June, China’s total import and export volume with Africa was US$17.09 billion, up 2.3% year on year. Among these, China’s exports to Africa were US$9.29 billion, up 0.3% year on year; China’s imports from Africa were US$7.79 billion, up 4.7% year on year; the trade surplus was US$1.50 billion, down 17.6% year on year.

In January-June, the growth rate of China’s trade with Africa was lower than those with Oceania(6.2%) and Europe(3.9%).
=====

View attachment 1634489

Kwanini magari kutoka China sio bidhaa maarufu hapa Africa (Tanzania) kama bidhaa zingine zilizojaa katika masoko/maduka yetu?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
"Ndugu zangu, China ni marafiki wa kweli!"~ Dkt. JPM
 
Japan wamewekeza vyema kwenye soko la magari tena wanatufaa zaidi kwasababu magari tunayoagiza ni mtumba lakini imara sana na kwa bei nafuu....Mchina hakuwekeza zaidi uko kwhyo ni sahihi tu Mjapan kuwin soko lake la magari Africa. ...kingine mjapan hua pia alianza kuuza pikipiki zake Honda, Yamaha ambazo ni imara sana sema kwakua upaja wetu mdogo hatuzimudu
 
Washatoa madogo kwa ajili ya TPDF mkuu vizuri kama SUZUKI JIMNY model mpya.
 
Na bidhaa feki nyingi sana kutoka china usisahau hilo pia.
Mkuu, ina maana China wanaweza kutengeneza "bidhaa feki" za kutumia wao wenyewe?

Ninapoulizia kuhusiana na suala la "second-hand" vehicle kutoka China ninakuwa na maana kwamba, ni zile ambazo wametumia wao wenyewe kwanza kisha zinaletwa huku Afrika.
 
Mkuu, ina maana China wanaweza kutengeneza "bidhaa feki" za kutumia wao wenyewe?

Ninapoulizia kuhusiana na suala la "second-hand" vehicle kutoka China ninakuwa na maana kwamba, ni zile ambazo wametumia wao wenyewe kwanza kisha zinaletwa huku Afrika.
Hapana. mchina hatengenezi bidhaa feki kwa ajili ya china na hakuna bidhaa feki inauzwa china kwa ajili wachina bali ni kwa ajili ya aftica

Ndio maana hakuna mchina aliyepo china anaye tumia TECNO , INFINIX au ITEL
 
Magari ya China mbona yapo mengi sana tu... Jiafong, FAW, Howo,Youtong na aina zake mabus ya kichina, Kuna Isuzu Civilian za kichina, Kuna SVU kibao zilikuja kipindi furani watu wa kitengo furani maalum walipewa... na sasa hivi kuna aina ya Haval Nzuri sana pichani chini zipo umwerani sana. Iknow Chinese wao ni kucopy tu sio utamaduni wao kugundua kitu.
1606326438007.png


Ukija Pikipiki ndio Usiseme, Sanya, SanLG,Fekon na hata now kuna Bajaj za Kichina. Kiufupi Mleta Mada yupo Shallow sana... Gari za Mjapani nyingi unazoziona ni Used so Used sio Biashara ile ni Dumping site tu kwa wajapan na wanafurahia old model vehicle... Japan Gari mpya wanazouza Sokoni Tanzania ni chache na haswa kwa Goverment ya Tanzania zaidi. binafsi ni wachache sana wenye Cash zisizo na kazi...
 
Magari ya China mbona yapo mengi sana tu
Yapo mengi kama ambavyo "domestic products" zao zilivyojaa madukani mwetu?

Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hichi ninachokisema.
 
Back
Top Bottom