Hivi China wana gari zao au nayo wanatumia za Japan?Watanzania wengi wanapenda magari ya kijapani. Huenda kutokana na unafuu wa kuyafanyia maintenance na upatikanaji wa vipuri vyake. Ninawaza tu.
China ni kiongozi wakuwa na kampuni nyingi Sana za magari pia ni mzalishaji mkubwa wa magari kuliko wote.Hivi China wana gari zao au nayo wanatumia za Japan?
ooh sasa mtumba wao wanauzia nchi gani?China ni kiongozi wakuwa na kampuni nyingi Sana za magari pia ni mzalishaji mkubwa wa magari kuliko wote.
Mchina kwa magari madogo bado ndo anakuja kwa kunyatia ila atalikamata soko hatimae,,kishaanza kukamata soko za magari makubwa kama truck,mabasi,mitambo ya ujenzi,,kumbuka mchina alianza na kuexport basikeli za phonex miaka ya 80Japanese wameliteka soko la magari Afrika mkuu. Chinese wapo katika soko la bidhaa za majumbani...
Wanauzia china huko huko,china ina watu wengi bilion 1.6 sio wote wako middle class,wake lower class ndo wananunua mitumba.ooh sasa mtumba wao wanauzia nchi gani?
Shukrani.Wanauzia china huko huko,china ina watu wengi bilion 1.6 sio wote wako middle class,wake lower class ndo wananunua mitumba.
gari za mchina lifetime ni ndogo yaani ukitumia kwa mdaa flani inakuwa imechoka hafu China ipo kwenye upper middle income ko hakuna restrictions sana kwa muda na Hali ya matumizi ya magari. Tofauti na Japan ipo in first world country ambapo Kuna restrictions za muda na Hali ya kumiliki gari hafu gari za mjapani ni imara Sana .ooh sasa mtumba wao wanauzia nchi gani?
Suzuki Jimny ni Japanese brand ila India wana assemble mkuuWashatoa madogo kwa ajili ya TPDF mkuu vizuri kama SUZUKI JIMNY model mpya.
Mchina gari kubwa alianza kitambo kuleta hapa Tanzania kama unazikumbuka Jefang zilikuwa zinafanana na Isuzu Tx Injection au Nissan Diesel zile zenye pua ndefu miaka ya 1980-1990. Nyingi kwetu zilikuja tipper na long base kama hiyo pichani.Kwani kwa ujuavyo wewe, magari makubwa ya mchina yameanza kuwa mengi around miaka mingapi iliyopita mkuu?
Hebu fanya research ya kilocal then uje na majibu. Utakubaliana na alichozungumza mwana jf hapo juu.
Kweli kuna Zile BJ Jeep za mchina watu waliokuwanazo kuzihudumia vipuri ilikuwa kasheshe ni mwendo wa kuagiza, gari ikianza kuchoka ndio moja Kwa moja.gari za mchina lifetime ni ndogo yaani ukitumia kwa mdaa flani inakuwa imechoka hafu China ipo kwenye upper middle income ko hakuna restrictions sana kwa muda na Hali ya matumizi ya magari. Tofauti na Japan ipo in first world country ambapo Kuna restrictions za muda na Hali ya kumiliki gari hafu gari za mjapani ni imara Sana .
Mkuu, ninadhani hata Japan kama wangekuwa hawajateka soko la magari hapa Afrika watu wangekuwa wanaagiza sana vipuri vya gari zao kama magari ya kichina...Kweli kuna Zile BJ Jeep za mchina watu waliokuwanazo kuzihudumia vipuri ilikuwa kasheshe ni mwendo wa kuagiza, gari ikianza kuchoka ndio moja Kwa moja.
Si ndio hivyo sasa wanagawana viwanja vya matanuzi.Japanese wameliteka soko la magari Afrika mkuu. Chinese wapo katika soko la bidhaa za majumbani...
Nilikuwekaga katika IGNORE LIST yangu muda mrefu sana. Sikumbuki hata ulinikwaza nini.Si ndio hivyo sasa wanagawana viwanja vya matanuzi.
Kwahiyo hapa nimekukera sio?Nilikuwekaga katika IGNORE LIST yangu muda mrefu sana. Sikumbuki hata ulinikwaza nini.
Hapana sijakuweka leo, nilikuwekaga tangia mwezi wa saba (July) kwa maana kuna neno baya ulinijibu (Personal Attack) ila sasa silikumbuki.Kwahiyo hapa nimekukera sio?
Sawa kuniweka ignore list nadhani ni uamuzi bora kabisa ukiona nakukera.