CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
They are two separate systems that evolved differently,,, evolving to viviparity from oviparity ni independent from development of celebral cortexKwenye top ten ya wanyama wenye akili wanaotaga wapo wawili. Kwenye top five hakuna anayetaga. Hakuna uhusiano wa kuzaa na CNS development?
Kasome lineage vizuri kwamba mammals evolve from naniSababu ya common ancestor.
Ni system tofauti kweli. Nauliza kama kuzaa kunafanya wanyama wawe akili kuliko kutaga mayai? Maana inaonyesha wanyama wanaozaliwa wanakuww na akili kuliko wanaotagwa.They are two separate systems that evolved differently,,, evolving to viviparity from oviparity ni independent from development of celebral cortex
Nafikiri wewe ndiyo ukasome vizuri hii topic. Evolution gani inasema tulitoka kwenye ndege?Kasome lineage vizuri kwamba mammals evolve from nani
Yeeeh tumetokana na therapsidNafikiri wewe ndiyo ukasome vizuri hii topic. Evolution gani inasema tulitoka kwenye ndege?
Je ability ya warming the body nayo inauhusiano na kuzaa?Ni system tofauti kweli. Nauliza kama kuzaa kunafanya wanyama wawe akili kuliko kutaga mayai? Maana inaonyesha wanyama wanaozaliwa wanakuww na akili kuliko wanaotagwa.
Noo haina uhusianoNi system tofauti kweli. Nauliza kama kuzaa kunafanya wanyama wawe akili kuliko kutaga mayai? Maana inaonyesha wanyama wanaozaliwa wanakuww na akili kuliko wanaotagwa.
Mfano octopus ana iq kubwa kuliko pig and remember ni invertebrateNi system tofauti kweli. Nauliza kama kuzaa kunafanya wanyama wawe akili kuliko kutaga mayai? Maana inaonyesha wanyama wanaozaliwa wanakuww na akili kuliko wanaotagwa.
Dinosours walikuwa extinct miaka mingi kabla binadamu hajatokea. Hakuna uhusiano wa kievolutiona kati ya binadamu na ndege na dinosours zaidi ya kuwa na common ancestor.Yeeeh tumetokana na therapsid
Kuzaa mbona ni gross zaidi.Anakaa kabisaa nachichumaa nataga! .. 😁😊🤭
Ndiyo maana nikakwambia kwenye top ten wanaotaga wapo wawili. Octopus na kunguru.Mfano octopus ana iq kubwa kuliko pig and remember ni invertebrate
Kwa harakaharaka inaonekana kuna uhusiano. Ni kama wanaozaa wote ni wanyama wenye joto.Je ability ya warming the body nayo inauhusiano na kuzaa?
Ahsante kwa hizi taarifa sikujua kunguru ana akili nyingi nilifikiri pengine tai au mwewe ndo wana akili zaidi . Hivi ndege kuwa mjanja ni sawa na luwa na akili zaidi?Ndiyo maana nikakwambia kwenye top ten wanaotaga wapo wawili. Octopus na kunguru.
Kinachotakiwa ni joto ila huko sahihiKufukia siyo kuatamia.
Jibu toshaKwa viumbe wote wanaotaga, huwa yai linapotagwa halikui nje ya mwili wa kiumbe husika, Bali linakulia ndani katika size maalumu Kisha linakuja kudevelop nje baada ya kutagwa na kutoa kifaranga, na ukubwa wa kifaranga unategemea na ukubwa wa yai.
Sasa tukija kwa mwanaadamu yaani atage yai ambalo ndani yake atoke kichanga kwa ukubwa huu tunaoufahamu, huoni hiyo kazi ngumu zaidi ya hiyo ya kuzaa?
Maana kiungo kikubwa kwa kichanga huwa ni kichwa sasa imagine mwili wote wa kichanga uwe ndani ya yai halafu alitage!!!
Labda utasema mayai yawe madogo, maana yake ukubwa wake usizidi ukubwa wa kichwa cha kichanga anapozaliwa(maana ndio upana ambao uke anaweza kitanuka), sasa hivyo vichanga vitakuwa na ukubwa gani?
Hukufikiria
Wewe hujafikiria.Mamba huwa wakubwa kuliko binadamu lakini wanataga mayai. Kwa mantiki hiyo mayai ya binadamu yangekuwa madogo kuliko ya mamba. Huo ingekuwa rahisi kupitisha mayai kuliko mtoto mdogo?
Mayai ya mamba(ya binadamu yangekuwa madogo zaidi)
View attachment 2250671