Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Kwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?

Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sema najaribu fikir chief aliwaza Nini lakin sipati jibu na unaweza kuwa na fact kwa Kila challenge wanayokupa kuhus kutaga,by the way why umewaza kutaga?
 
Ungekuwa unataga ungekuja kuuliza tena kwanini huzai, kenge wewe
 
Yaan imagine yai lingekuwa kubwa kama mbuni sasa,Luna watu wangekuwa wamechamika mikund*
 
Kwani we unahamu ya kutaga broo
 
Nafikiri kuijadili mada yako ni matuzi mabaya ya Akili Mungu aliyokupa Bure!
 
Duuu!!! Hatar saaana.
 
Bin-adamu angekaanga na kula mayai yake na matokeo yake kizazi cha binadamu kingepotea kabisa.

Wale wanaopata mimba kwa bahati mbaya na kuzilea hadi wanajifungu, ingekuwa mayai yangekuwa yanaa chwa kama ya kanga.
 
Haya mawazo yako huko sahihi kabisa. Unajua yale mambo ambayo watu wanayadharau ndio yameleta mapinduzi makubwa katika dunia. Mfano kwanii embe linadondoka chini na haliedi juu. Hapa watakupa majibu mengi kwasababu wamekaririsha mashuleni lakini hakuna mtu anayeweza fikiria nje ya box kwa kuja na nadharia zake binafsi ambazo hazina mafungamano na mwingine kuhusu hili
 
Naunga mkono. Inaonekana viumbe wa mwanzo walikuwa wataga mayai. Dinosours walikuwepo miaka 200m iliyopita na ni wataga mayai.
hii mbona inajulikana na kuna mamalia mmoja anataga mayai Platypus - Wikipedia mcheki humu . kutaga mayai magumu ni mafanikio ya kievolution kabla ya hapo viumbe mayai walitaga majini mfano chura na samaki
 
Kwanini unafikiri hivyo?
Tuna changamoto nyingi muhimu za kushirikishana kama vijana na Kusaidiana
Hayo ya kujadili kuwa Mungu amependelea Viumbe wengine NI MATUMIZI MABAYA YA MUDA NA AKILI kwa kuwa hutapata jibu lolote zaidi ya blaa blaa na kashifa za kumkwaza Muumbaji!!!
Kumbuka tu kuwa; kile ambacho hajatengeneza Binadamu, basi na Elimu ya hicho kitu binadamu hawezi kuwa nayo yote!
 
Umbeya huko Instagram..
Ingekuwa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Diamond platinumz na mzazi mwenzie tanasha wanasikitika kupoteza yai lao ambalo limepasuka bahati mbaya.
Yai hilo lilitegemewa kuanguliwa siku 14 zijazo.
Akihojiwa akiwa katika show huko Nigeria Diamond kasema uzembe ulikuwepo nyumbani baada ya house girl kutokuwa makini pale alipokuwa akifanya usafi katika chumba hichoccha joto.
Isingetokea ajali hii basi wapenzi hao wangejipatia mtoto wa tatu baada ya tifah na nilan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…