Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Ila kuna vitu vinachekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nna uhakika katika macelebrities wa Bongo ni Shilole tu ndo angetamia na kutetea
 
Nani kazungumza habari za Mungu kupendelea viumbe wengine? Usiingize habari za dini hapa kujipendekeza kwa Mungu.
 
Nani kazungumza habari za Mungu kupendelea viumbe wengine? Usiingize habari za dini hapa kujipendekeza kwa Mungu.

Yaani umekosa kabisa kitu cha kupost hadi unapost mada ambayo utajibiwa upuuzi upuuzi tu au ndio majibu unayopenda?
 
Yaani umekosa kabisa kitu cha kupost hadi unapost mada ambayo utajibiwa upuuzi upuuzi tu au ndio majibu unayopenda?
Usijilimit mawazo yako na wanaojibu upuuzi ni wapuuzi wao. Wenye akili wameelewa na tumekuwa na mjadala mzuri.
 
Kwa maana hiyo sehemu ya haja na kutagia ingekua moja...
 
Kuna mzee kule kaskazini alisema aliwahi kuonana na yesu live na wakapiga story.

Fanya kumcheki huyo mzee ili siku akija tena amuulize hilo jambo, na pia ampe pendekezo lako. Huenda kizazi kijacho binadamu wakawa wanataga.

Ni mawazo mazuri ila tu hapa sidhani kama ni mahala sahihi labda kama viumbe wa mbinguni huwa wanapitapita humu huenda wakafikisha kwa wahusika.
 
Hili siyo swali la kidini.
 
Attachments

  • getvideobot.com-RwhBLoGR_moOftat.mp4
    81 KB
ifike mda serikali ipige marufuku sasa watu kutoa toa maoni maana nchi imezidi uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…