Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kazungumza habari za Mungu kupendelea viumbe wengine? Usiingize habari za dini hapa kujipendekeza kwa Mungu.Tuna changamoto nyingi muhimu za kushirikishana kama vijana na Kusaidiana
Hayo ya kujadili kuwa Mungu amependelea Viumbe wengine NI MATUMIZI MABAYA YA MUDA NA AKILI kwa kuwa hutapata jibu lolote zaidi ya blaa blaa na kashifa za kumkwaza Muumbaji!!!
Kumbuka tu kuwa; kile ambacho hajatengeneza Binadamu, basi na Elimu ya hicho kitu binadamu hawezi kuwa nayo yote!
Nani kazungumza habari za Mungu kupendelea viumbe wengine? Usiingize habari za dini hapa kujipendekeza kwa Mungu.
Usijilimit mawazo yako na wanaojibu upuuzi ni wapuuzi wao. Wenye akili wameelewa na tumekuwa na mjadala mzuri.Yaani umekosa kabisa kitu cha kupost hadi unapost mada ambayo utajibiwa upuuzi upuuzi tu au ndio majibu unayopenda?
Hili siyo swali la kidini.Kuna mzee kule kaskazini alisema aliwahi kuonana na yesu live na wakapiga story.
Fanya kumcheki huyo mzee ili siku akija tena amuulize hilo jambo, na pia ampe pendekezo lako. Huenda kizazi kijacho binadamu wakawa wanataga.
Ni mawazo mazuri ila tu hapa sidhani kama ni mahala sahihi labda kama viumbe wa mbinguni huwa wanapitapita humu huenda wakafikisha kwa wahusika.
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Therapsid alikuwa ni reptile kama dinosaur,,,Dinosours walikuwa extinct miaka mingi kabla binadamu hajatokea. Hakuna uhusiano wa kievolutiona kati ya binadamu na ndege na dinosours zaidi ya kuwa na common ancestor.
Pigeon yupoNdiyo maana nikakwambia kwenye top ten wanaotaga wapo wawili. Octopus na kunguru.
Ndege naye ana joto but hazaiKwa harakaharaka inaonekana kuna uhusiano. Ni kama wanaozaa wote ni wanyama wenye joto.
Ni ushauri tu ndgu yangu.Hili siyo swali la kidini.
Nasema inaonekana wanayama wote wanaozaa ni wenye joto. Ndege kutozaa inaingiaje?Ndege naye ana joto but hazai
Sasa hapa ndiyo inasema binadamu tulitokana na ndege? Ndiyo inasema ndege hawakutokana na dinosours? Hayo ndiyo ndiyo tunabishania. Sijakataa Mammalia kuwa na ancestor mmoja. (Huyo therapsid)Kasome kwanza evolution View attachment 2251481
ifike mda serikali ipige marufuku sasa watu kutoa toa maoni maana nchi imezidi uhuruEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Huyo therapid siyo dinosourTherapsid alikuwa ni reptile kama dinosaur,,,
Yes but both therapsid na dinosaurs walikuwa reptilesHuyo therapid siyo dinosour