Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

Kama wewe ndiye muumba sawa, lakini acha tabia ya kujifanya mjuwaji sana na kujipendekeza kwa wenye madaraka hasa yule katili na muuaji kijitu kilichokondeana kwa sababu ya roho mbaya.
 
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
...Ndio Nasikia kutoka Kwako kwamba Binadamu akitaka Kufa lazima atoe Haja kubwa! Elimu Haina Mwisho!
 
USIOMBE KIFO UTAJISAIDIA
Hii kitu ipo wakuu mtulize tuliofanya meditation za kutoka nje ya mwili tukanusurika kifo kwa kuacha kubwa na ndogo sio unajisaidia punj ya mbuz ni gog la ng'ombe t.
Kuna Mpuuzi Mmoja anajifanya ni Daktari na Mtu wa Mortuary anabisha kuwa hakuna Binadamu anajisaidia ( anayeukweka ) pale tu akifa wakati ukweli ni kwamba sote tukifa ni lazima tu tutawapa Adhabu watakaotusafisha baada ya Kujisaidia( Kuukweka ) Kwetu.

Cc: Sierra One
 
Kazi yangu inahusika sana na last moments za ndugu nzetu, naomba nikuambie hii haina ukweli wowote.

Inatokeaga ila siyo kweli kwamba kila anayekata roho lazima ajisaidie haja kubwa. Ni 1 kati ya 1000 ndiyo humpata hii scenario.
Kabisa mkuu, na huu ndio ukweli.
 
Kuna Mpuuzi Mmoja anajifanya ni Daktari na Mtu wa Mortuary anabisha kuwa hakuna Binadamu anajisaidia ( anayeukweka ) pale tu akifa wakati ukweli ni kwamba sote tukifa ni lazima tu tutawapa Adhabu watakaotusafisha baada ya Kujisaidia( Kuukweka ) Kwetu.

Cc: Sierra One
Tofautisha kati ya kujisaidia na kusaidiwa wakati unaoshwa ukiwa maiti..
Wakati maiti inaoshwa moja ya hatua ni kui-squeeze tumbo maiti ili mtoe uchafu wote ulioko tumboni na kwenye kibofu. Hiyo hauwezi kuiita kujisaidia maana hata wewe hapo ulipo unatembea na mavi tumboni, ni mpaka pale utakapoyatoa kupitia njia ya haja kubwa ndipo sasa tunasema umejisaidia.
 
USIOMBE KIFO UTAJISAIDIA
Hii kitu ipo wakuu mtulize tuliofanya meditation za kutoka nje ya mwili tukanusurika kifo kwa kuacha kubwa na ndogo sio unajisaidia punj ya mbuz ni gog la ng'ombe t.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meditation ndiyo ipoje
 
Mwili wa binadamu una mifumo mingi sana.

Kwa kifupi mtu anapokufa kila kitu huacha kufanya kazi yake, tumboni kuna gases, acids, vyakula nk, mifumo inapoacha kufanya kazi hivyo vitu tajwa vinaendelea na reactions hivyo gas nyingi huzalishwa, hii gas hujaa na huwa inatafuta pakutokea, kuna inayotokea mdomoni na puani, kuna inayotokea kwenye utumbo mkubwa, chochote kilichopo njiani husukumwa na gas hii.

Naelewa hivyo nahisi hivyo inaweza kua sahihi au si sahihi wataalam wanaweza tupa mwanga zaidi.
 
Mungu HAYUPO ila kifo kipo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom