Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Mbona hata kuzaliwa ni vivyo hivyo - ndogo na kubwa, ila wauguzi usema hiyo ni ishara ya mifumo husika kufanya kazi vizuri!!
 
Si kweli... Nimekuwa daktari wa binadamu kwa miaka kadhaa na nimehusika sana kuthibitisha kifo cha mtu kabla ya kupelekwa mortuary. Hakuna kitu kama hicho...
Kwa hiyo unawachunguliaga hizo sehemu, maana mtoa mada anasema hata kiduchu?
 
Kama mtoto wakati wa kuzaliwa akicheleweshwa kidogo hujisaidia sembuse kishindo cha kifo
 
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.

[mention]GENTAMYCINE [/mention] ipo hivi, ukiwa umekufa kifo cha ghafla kwa maana haukua na shida yakutoshindwa kula basi ukiwa unatokwa na roho lazima unye.
Nahii inatokea zaidi kwa wanaopata ajali kwa mfano kugongwa na gari,pikpi eidha kudondoka juu ya mti nk.

Kwa mtu ambae kula yake ilikua ni tabu,pengine ni mgonjwa wa mda mrefu kula yake tabu alishwe kwa mipira na chakula chenyew ni uji usikute. Basi watu wanaokufa kwa dizain hiyo hujikojolea.

Hicho ndicho nnachofahm mm.
 
Haina ukweli wowote....ni hadithi za mtaani tu,japo baadhi wanaweza toa haja kubwa,mkojo au mate kutokana MUSCLES RELAXATION...just normal body physiology.
 
Hakuna Mwanadamu ambaye akikata Roho tu ( akifa ) hajisaidii hata kama ni kidogo au chembe zake.

Naona mnaogopa kujisaidia mkifariki.
Popoma kadigrii kako huko sauti hakajakukomboa kbs asee,ndy matatizo ya kusoma HKL haya😅😅 (joking)

Ukweli Ni kwamba Sierra One Yuko sahihi kabisa Wala hukuwa na haha ya kumbishia

Nikupe mfano;mtu aliye chumbani akafunga madirisha na milango Kisha akalala na jiko la mkaa atakufa taratibu kwa kuvuta hewa ya sumu carbon monoxide na atakufa Kama mtu aliyelala usingizi bila maumivu Wala kelele Wala kinyesi hakitoki,km huamini fanya hivyo usiku wa Leo Kama asubuhi hatujasema RIP Genta popoma na mavi haujakunya Wala nn..Au kesi ya mtu aliyekufa usingizini ghafla hizo stori za kujisaidia huwezi kuta

Source yako Safari hii imekuingiza chaka
 
Wanaokunya sana sana ni wale wanaojinyonga tena kwa kamba, hao lazima waachie mavi na mikojo.

Ila unakuta kibabu kimepigwa stroke, hakina hata fahamu, kinaanzaje kunya wakati wa kukata roho?
 
Wanaokunya sana sana ni wale wanaojinyonga tena kwa kamba, hao lazima waachie mavi na mikojo.

Ila unakuta kibabu kimepigwa stroke, hakina hata fahamu, kinaanzaje kunya wakati wa kukata roho?
Exactly,na Kuna sababu ya kwa nn hao watu hujisaidia wakati wanakata roho..Nikipata muda nitaelezea
 
Hata ukitoa kubwa hamna tatizo si unakua umeshakata moto unawaachia kibarua cha kukuogesha
 
Nachofahamu ata nyati alizingirwa na Simba iyo kunya yake haina mfano.
 
Katika uislamu tunafundishwa kuwa kuna maumivu mtu anapata wakati roho inatoka. na haya tunapata wote iwe kwa mtu mwema au mtu mwenye dhambi. Na hayo maumivu huwa yanazidi au kupungua kutokana na wingi wa madhambi aliyo nayo mtu.

Na kwa mujibu wa Mtume Muhammad S.A.W maumivu ya kutoka roho mfano wake ni kama mnyama kuchunwa ngozi akiwa hai yani yale maumivu yake anayopata akichwa ngozi ndio sawa na maumivu ya kutoka roho na ikiwa anayetolewa roho ni mtu muovu maumivu ni zaidi ya hayo.

Wakati wa kufa ukifika huwa wanakuja Malaika kutoa roho yako na kuondoka nayo kuirudisha kwa Muumba wako, na wewe unaye kufa huwa unawaona na unaongea nao hao Malaika, na watu wengine wote waliokuzunguka hawaoni wala hawasikii. utayajua haya tu pale siku yako ya kufa itakapofika.
Researched?
 
Hii niliwahi kuisikia inawatokea wale wanaokufa kwa kujinyonga.
Wiki Mbili zimepita sasa kuna Dogo alijua Kitaani Kwetu na katika Watu walionda Kumfungua kwa Usimamizi na Muongozo wa Police nami GENTAMYCINE nilikuwepo na wakati tunamweka sawa hadi kumpeleka Mochwari Mwananyamala Hospital sikuona cha Mavi ( Puu ) wala Chembe za Mavi Unyabeni ( Makalioni) Kwake.
 
Hakuna Mwanadamu ambaye akikata Roho tu ( akifa ) hajisaidii hata kama ni kidogo au chembe zake.

Naona mnaogopa kujisaidia mkifariki.
Sio kweli mzee wengi tu wanakufa plain bila kujisaidia

Wanaojisaidia ni kutokana na kuachia kwa sphincter za rectum

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Genta anajiona kipanga kumbe mburula mmoja hivi.umejibiwa huko juu na wananzengo na bado unaleta ujuaji.
 
Uongo nishahudumia mmoja baada ya kukata roho sikuona. So sio kila mtu labda ni hao wa huko kwenu ndo mna historia ya kupoo
 
Back
Top Bottom