Mbona hata kuzaliwa ni vivyo hivyo - ndogo na kubwa, ila wauguzi usema hiyo ni ishara ya mifumo husika kufanya kazi vizuri!!Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Kwa hiyo unawachunguliaga hizo sehemu, maana mtoa mada anasema hata kiduchu?Si kweli... Nimekuwa daktari wa binadamu kwa miaka kadhaa na nimehusika sana kuthibitisha kifo cha mtu kabla ya kupelekwa mortuary. Hakuna kitu kama hicho...
Haha! Mtoa mada mwongo, kawaona wangapi waliokunya wakati wanakufa?...Kwa hiyo unawachunguliaga hizo sehemu, maana mtoa mada anasema hata kiduchu?
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Popoma kadigrii kako huko sauti hakajakukomboa kbs asee,ndy matatizo ya kusoma HKL haya😅😅 (joking)Hakuna Mwanadamu ambaye akikata Roho tu ( akifa ) hajisaidii hata kama ni kidogo au chembe zake.
Naona mnaogopa kujisaidia mkifariki.
Wanaokunya sana sana ni wale wanaojinyonga tena kwa kamba, hao lazima waachie mavi na mikojo.Popoma kadigrii kako huko sauti hakajakukomboa kbs asee,ndy matatizo ya kusoma HKL haya😅😅 (joking)
Ukweli Ni kwamba Sierra One Yuko sahihi kabisa Wala hukuwa na haha ya kumbishia
Nikupe mfano;mtu aliye chumbani akafunga madirisha na milango Kisha akalala na jiko la mkaa atakufa taratibu kwa kuvuta hewa ya sumu carbon monoxide na atakufa Kama mtu aliyelala usingizi bila maumivu Wala kelele Wala kinyesi hakitoki,km huamini fanya hivyo usiku wa Leo Kama asubuhi hatujasema RIP Genta popoma na mavi haujakunya Wala nn..Au kesi ya mtu aliyekufa usingizini ghafla hizo stori za kujisaidia huwezi kuta
Source yako Safari hii imekuingiza chaka
Exactly,na Kuna sababu ya kwa nn hao watu hujisaidia wakati wanakata roho..Nikipata muda nitaelezeaWanaokunya sana sana ni wale wanaojinyonga tena kwa kamba, hao lazima waachie mavi na mikojo.
Ila unakuta kibabu kimepigwa stroke, hakina hata fahamu, kinaanzaje kunya wakati wa kukata roho?
ili usinye auNdo maana tunakumbushwa mara nyingi kuomba mwisho mwema
Umeelewa kama akili yako ilivyokutumaKwahiyo ukiomba huo mwisho mwema ndiyo hutojisaidia (hutoukweka ) ukikata Roho?
Researched?Katika uislamu tunafundishwa kuwa kuna maumivu mtu anapata wakati roho inatoka. na haya tunapata wote iwe kwa mtu mwema au mtu mwenye dhambi. Na hayo maumivu huwa yanazidi au kupungua kutokana na wingi wa madhambi aliyo nayo mtu.
Na kwa mujibu wa Mtume Muhammad S.A.W maumivu ya kutoka roho mfano wake ni kama mnyama kuchunwa ngozi akiwa hai yani yale maumivu yake anayopata akichwa ngozi ndio sawa na maumivu ya kutoka roho na ikiwa anayetolewa roho ni mtu muovu maumivu ni zaidi ya hayo.
Wakati wa kufa ukifika huwa wanakuja Malaika kutoa roho yako na kuondoka nayo kuirudisha kwa Muumba wako, na wewe unaye kufa huwa unawaona na unaongea nao hao Malaika, na watu wengine wote waliokuzunguka hawaoni wala hawasikii. utayajua haya tu pale siku yako ya kufa itakapofika.
Wiki Mbili zimepita sasa kuna Dogo alijua Kitaani Kwetu na katika Watu walionda Kumfungua kwa Usimamizi na Muongozo wa Police nami GENTAMYCINE nilikuwepo na wakati tunamweka sawa hadi kumpeleka Mochwari Mwananyamala Hospital sikuona cha Mavi ( Puu ) wala Chembe za Mavi Unyabeni ( Makalioni) Kwake.Hii niliwahi kuisikia inawatokea wale wanaokufa kwa kujinyonga.
Sio kweli mzee wengi tu wanakufa plain bila kujisaidiaHakuna Mwanadamu ambaye akikata Roho tu ( akifa ) hajisaidii hata kama ni kidogo au chembe zake.
Naona mnaogopa kujisaidia mkifariki.