Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

sio wote na ata ilitokea ni labda haja ilkua karibu na mtu akifariki misuli mingi ulegea ikiwepo misuli ya uko nyuma( Sphincters muscles) ambayo hua inacontrol haja kutoka kwahyo automatically lazima choo kitoke kama kilikuwepo.
 
Viungo hulegea sehemu hubakia wazi bila control...
 
Hata Magufuli alikunya wakati anakufa ?
 
Kwasababu mavi Ndo mpango mzima
 
Sio kweli..Mimi ni mtu WA afya by professional ,Ila mtu akifanya suicide by hanging hiyo kitu hutokea ni kwababu ya relaxation ya anal sphyincter muscles during process of dying
 

Hii ni Myth tuu haina ukweli wowote.

Mtu akipigwa RISASI ya kichwa akifa ni Sawa na Yule anayechinjwa au kuchomwa Moto?
Jibu ni hapana.

Kufa hakuumi Kama wengi wanavyofikiri.

Kinachomfanya mtu ahisi maumivu ni ubongo.
Zipo dawa au Kemikali mtu akipewa zinazuia mwili kutuma taarifa ubongoni hivyo mtu hata umchinje anaweza asihisi maumivu.

Ubongo ndio software ya Mwili unaocontrol mwili na matendo yake.
 
Si kila binadamu anapokufa lazima anye, lakini kujikojolea ni lazima, hasa kwa vifo vya kushitukiza!

Kinachosababisha yote hayo ni mwili wakati wa kufa huparalaizi na kukosa control kwa kiungo chochote kuanzia ubongo.

Mwili hujiset unavyotaka, ndiyo maana utakuta maiti kaachama, macho nje hadi umsitiri kwa kumfumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…