Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

Tuoeni basi maujuzi hapa hapa JF wajuzi au tuka gogo
Ni bora uende ukapige msuli mwenyewe boss. Me ntakusaidia kukuongoza wapi pakupata hiyo elimu. Nenda binance wana nondo kibao
 
Nilishawahi jaribu kuyafuatilia nikaona haya mambo yapo , ila yanahitaji mitaji mikubwa ni uwekezaji tu ila kwa mtu wakawaida ni kama kubashiri tu .
bora umesema ukweli kuwa ulijaribu na sio kufanya kwa uhakika, suala la mtaji si lazima uwe na mamilioni. Muhimu uwe na elimu kwanza sahihi
 
kama hunna elimu na huku lazima utaona kupoteza muda ila ukiwa na elimu hupotezi muda. Na kingine fanya unachokipenda usije ukafanya jambo sababu ya kufata mkumbo. Kama online hupawezi kauze chapati.
 
Naona mnataka kuokota wagunya

Kama kawa
 
Hyo Blockchain sio ya matajiri.ni ya mafala tu.matajiri hawana muda WA kipuuzi na utapeli
Aisee ww jamaa hamna kitu kbs kichwani, hii ni technology ambayo niya wkt wasasa km vile unavyo sikia Software na hz apps km unayo tumia sasahv hapo ktk simu yako, inakuunga na banks na namengineyo mangi tu,km miamala ya simu inavyo fanyika kwa wepesi .... yaani mpaka uelewe 😅😅😅
 
kama hunna elimu na huku lazima utaona kupoteza muda ila ukiwa na elimu hupotezi muda. Na kingine fanya unachokipenda usije ukafanya jambo sababu ya kufata mkumbo. Kama online hupawezi kauze chapati.
Kbs na atupishe, mtu huwez ropoka kwa kitu ambacho ndio kina ongoza dunia sasahv....jamaa ni mjinga kbs, wenzetu kupiga kura huu mfumo wa #Blockchain ndio unatumika sasahv, na mengine mangi
 
Tofauti yake na ile forex ya ontario iliyoliza watu humu ni nini
 
Baadae wanaanza kuona wivu vijana wakifanikiwa
 
Tofauti yake na ile forex ya ontario iliyoliza watu humu ni nini
watanzania wengi biashara ni zero wako fixed dunia inaenda kasii kama unapenda kuendesha baiskeli miaka yote wenzako wanapanda ndege daily..
 
Tofauti yake na ile forex ya ontario iliyoliza watu humu ni nini
Hiyo uliyosema siifaham ila tofauti ya mfumo huu humtegemei mtu ila ni uwezo wako wa maamuzi, ni kama soko la hisa. Uwe na elimu sahihi na mtaji wako kisha ujipambanie. Hii sio pyramid scheme kwamba huku na huku elfu 90 sijui ukileta mtu unapata kamisheni
 
watanzania wengi biashara ni zero wako fixed dunia inaenda kasii kama unapenda kuendesha baiskeli miaka yote wenzako wanapanda ndege daily..
kiukweli wengi wetu hatupendi kusoma na tunataka slope kwenye mambo yetu, ndio maana tunapigwa. Mtu akiskia kuna pesa basi anaingia kichwa kichwa
 
Unapataje pesa sasa
 
Unapataje pesa sasa
Njia zipo nyingi. Unaweza ukawa trader, unaweza ukawa wakala wa kuuza na kununua coins, unaweza ukawa unanunua na ku-hold coins kwa muda mrefu, unaweza ukawa una hunt Airdrops. Tafuta uisome kwanza kisha utajua wapi kunakufaa na vipi utapiga mtonyo
 
Uwekezaji mtaji kuanzia shiling ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…