Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

Nzuri
 
Nikupongeze umetumia hekima kubwa sana katika kumhibu huyu ndugu.
Bado tunasafari ndefu sana katika kukomboa vizazi vyetu na umasikini, Vizazi vyenyewe vinaamini kuwa Umasikini ni uridhi wa dhaabu ambao hautakiwi kuuacha.

Kwa bahati mbaya sana watanzania wengi hatupendi kujifunza tunajipa nafasi ya kujua vitu tusivyovijua mwisho kiza.

Tuwaze zaidi katika safari ya Teknolojia hii adimu ambayo inaweza kuwaajiri watanzania wote na wakapata matokeo makubwa ya mafanikio.

Kufunga vioo haitakusaidia ila ukitoa sikio na kusikiliza itakupa njia ya kuona dunia kwa taswira ya tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…