Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wee ndo tukuulize umeishia darasa la ngapi kule memkwa, jamaa kaeleza vizuri Sana Sasa wewe kichwani huelewi unahoji kinyumbunyumbu.Umeishia darasa la ngapi ndg?
Hii ndo lugha ya kitanzania ungekuwa kwingineko tungekuuliza una elimu ya kiwango kipi?
Unauliza uzalendo wa raia wa kawaida na mjeshi!!??Je kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia ? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo ? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi ?
Huko memkwa kulikuwa huru wakati magu anatawala?Wee ndo tukuulize umeishia darasa la ngapi kule memkwa, jamaa kaeleza vizuri Sana Sasa wewe kichwani huelewi unahoji kinyumbunyumbu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?Nani alikuambia....
Jeshini wanasoma uongozi tena hutoa viongozi wazuri sana.
Wametuletea Kikwete,kinana
Mkuu wa Uhamiaji sio raia???Ingekuwa ameletwa Raia sawa.
Umesoma vizuri swali aliloniuliza?Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?
Dr ni wewe kweli? au Witch DrJe kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia ? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo ? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi ?
mpaka uwaone mtaani wakiuza nyanya au viunguu ndipo ujue wanatuhudumia?Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru.
Fahamu wajibu wa kikatiba wa Jeshi
- amlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa
- Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
- Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa
Ila Afisa wa Magereza alivyoteuliwa kwenda kuwa Boss wa Jeshi la Zimamoto Magereza hakudharauliwa sio na hukuchukia sio?Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza
Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio
Magereza wakeluwa under ratted sana chini ya Jiwe hawajawahi toa hata DCIla Afisa wa Magereza alivyoteuliwa kwenda kuwa Boss wa Jeshi la Zimamoto Magereza hakudharauliwa sio na hukuchukia sio?
Hiyo ya kushiriki ulinzi wa amani iliwekwa kama pambio tu.Ulinzi wa amani kimataifa vinashiriki vyombo vyote vya dola: jwtz,polisi na usalama ambao uenda wakiwa katika 'koti' la raia wa kawaida.Wajibu wa JWTZ
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa
- Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
- Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa.
Kizazi cha miaka ya 2000,mtaona ni vitu vipya ila wakongwe sio mambo mapya tokea enzi za baba wa Taifa.Nchi ilikuwa inaenda kuwa ya kijeshi kabisa badala ya kutumia akili mwendazake alikuwa anatumia nguvu sana.
Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police akaenda kuwa kamishina wa mapato?Kizazi cha miaka ya 2000,mtaona ni vitu vipya ila wakongwe sio mambo mapya tokea enzi za baba wa Taifa.
Ila kwa vile unachuki za kipuuzi na hayati basi kila kitu unaona yeye ndio aliyeanzisha.
Mtu mwenye vyeo viwili tofauti haiwezi kutokea conflict of interests?kwani, kuna sehemu katika Katiba inakataza Mwanajeshi kuwa Boss wa TAKUKURU?
Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police
Siwezi ku urge na wapuuzi ila nakushauri fuatilia kuanzia awamu ya kwanza hadi ya tano kama kulikuwa hamna wanajeshi kwenye serikali.Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police akaenda kuwa kamishina wa mapato?
Nenda wewe ukawe mkuu wa brigedi tuoneSiwezi ku urge na wapuuzi ila nakushauri fuatilia kuanzia awamu ya kwanza hadi ya tano kama kulikuwa hamna wanajeshi kwenye serikali.
Sio jambo geni na hayati sio mtu wa kwanza kuwapa wanajeshi vyeo serikalini.
Nenda wewe ukawe mkuu wa brigedi tuoneSiwezi ku urge na wapuuzi ila nakushauri fuatilia kuanzia awamu ya kwanza hadi ya tano kama kulikuwa hamna wanajeshi kwenye serikali.
Sio jambo geni na hayati sio mtu wa kwanza kuwapa wanajeshi vyeo serikalini.
CGI nakuwaje raia?.Mkuu wa Uhamiaji sio raia???