chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Nilichoka aliposema rushwa kwenye ndini ya uchaguzi CCM inawaachia wenyewe kwa kuwa wana taratibu zao za kushughulikia, kizunguzungu hadi leo nikiona kombati zile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete na Kinana walistaafu JWTZ mwaka 1992Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?
TAKUKURU wana sare gani?Huyu ni mwanajeshi bado hajastaafu utumishi wa jeshi ila ni utashi wake kuvaa sare, ilitakiwa avae sare kama za TAKUKURU ambapo ndo idala yake mpya
Hakuna Teacher. Wivu tu!!!kwani, kuna sehemu katika Katiba inakataza Mwanajeshi kuwa Boss wa TAKUKURU?
Kwani TAKUKURU ni chama cha siasa?hapo kuna SMG zakutosha usijidanganye kuwa kile ni chombo kama wizara ya kilimo pale ni chombo cha ulinzi na usalama hivyo utii ni wakiasikari.Hayo magwanda wakavae huko jeshini na sio kwa ofisi za umma wao waliteuliwa kuwa wajeda Basi wafanye yanayo wahusu wasiingilie shughuli za raia, tunahitaji taasisi imara na sio individual people wanaovaa magwanda, pia nchi yetu haiongozwi na jeshi Una utawala halali wa kiraia
usisahau hao JKT ni JWTZ pia, yaani ni hao hao tuSasa mbona pale lugalo wanauza mtofali wakati wameanbiwa shughuli za uzalishaji ni JKT JWTZ mbona hata gambe wanauza? Najua ni hatari kushirikisha Mwanajeshi katika shughuli za biashara kwani nidhamu ya jeshi itapungua kwani ataona nibora kufanya biashara.
kuna mahala umeona nmesema mimi ni msomi? wewe ndio wasemaUtasikia na wewe eti ni msomi!, umejibu hoja!
Kitu huelewi ni kwambae hawa wanajeshi licha ya kuwa askari wanataaluma zao kama raia wengineKama tulivyowahi kuzungumza hapo awali, wanajeshi wanatakiwa warudi kwenye makambi/ofisi zao wakafanye shughuli zao za kijeshi na sio kwenda kufanya kazi za kiraia. Raia weng wapo na wana uwezo mkubwa sana kuliko hawa wanajeshi.
Tumeshuhudia matatizo makubwa sana kwenye taasisi za kiraia zinazoongozwa na wanajeshi. Chondechonde hawa wanajeshi warudi wakawaongoze wanajeshi wenzao. After all, Militaly management/administration ni tofauti kabisa na civil service management/administration.
Mambo ya kuvaa combat za kijeshi kwenye shughuli za kiraia ni ushamba mkubwa sana, hii sio nchi ya kijeshi!!
PTA ni nini ?Mi Nataka PTA pale Apewe mjeda
Halotel aka viatel kampuni ya Jeshi la Vietnam.....Hili halina muda... Kuna mabadiliko mengi makubwa yanakuja... Jeshi litatengwa na shughuli na siasa na utawala libaki na dhima yake ya ulinzi na usalama
Ni kama hapa kwetu Suma JKT siwezi kubishaHalotel aka viatel kampuni ya Jeshi la Vietnam.....
Au unabisha mkuu!
Igeuzegeuze Hadi ilete maana yake mkuuPTA ndio wapi ?
Igeuze geuze ili ikuletee hiyo unayohitajiPTA ndio wapi ?
TPAMi Nataka PTA pale Apewe mjeda
Mkuu asante, hata hivyo kuna mambo Yakupasa ukae Tu kimya