mzee naona unachukia sana wasomi...pole
lakini china in form of GDP sio uchumi wa kwanza....ni ya pili
sasa mbona unakimbia...china ni ya pili bwashee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie endeleeni tu na supply and demand hakuna cha maaana mnajua!
mkuu weka ushahidi wanaprint trilion 1.3 kila siku....nimechoka kukulazia damu sasa
sasa mbona unakimbia...china ni ya pili bwashee
sasa mbona unakimbia...china ni ya pili bwashee
kwa hiyo unataka China waPrint USD, daah hicho ni kichekesho... Wao waPrint YUAN zao.
YUAN ipo hapo ilipo sababu haina DEMAND kubwa duniani nje ya China ukilinganisha na USD, ilhali USD yenyewe DEMAND yake bado ni kubwa hata Nje ya America..
America ina Uchumi imara na pia America ni de factor Superpower kwa TEKNOLOJIA, maana nchi nyingine kubwa ki-Teknolojia kama vile Japan, China, Russia, England, France, Germany n.k. nchi zote hizo zinaposhindwa kitu basi zinaangalia Ufumbuzi kutoka America.
Yote hayo yanafanya America iwe on DEMAND duniani na hii imesaidia pia kufanya USD iwe the de facto currency ya dunia pia.
Mchezo unarudi pale pale DEMAND & SUPPLY.
China hawawezi kuPrint print tu YUAN zao bila kufata misingi ya fedha yao na pia kwa kuzingatia Kanuni za Demand & Supply.
Na mm nina baadhi ya maswal ktk muktadha wa hela.. 1: hv kwa sasa BOT Ina akiba ya sh ngp walizoprint yan pesa zlzopo kwny mzunguko? 2: pesa ya Tanzania ina printiwa wap hapa hapa bongo na BOT au lah? 3: mfano tunapokuwa tumepewa msaada au kukopa pesa nje ya nchi aidha Marekan, labda marekan imetupa mkopo wa dola milion 10 tufanye mradi fulani je hyo pesa ikifika huku nchini tunaitumiaje tunaibadilisha na currency yetu ya ndani ama? Na km tunaibadilisha na pesa ya ndan ndio itumike ktk mrad flan je zle dola tunazfanyaje mbn km n hasara tumeingia kutumia pesa zetu wenyewe! Na je km tukipata mkopo kwa dola tunabadilsh kwa pesa za ndan je ikitokea hzo dola n nying kuliko pesa za ndan zloprintiwa inakuwaje tunaweza vp kubadilisha!!!!
China anazidiwa mpaka na japanese yen kwasababu ya policy zake.Anyway wacha tuconclude hii mada yako maaana ni easy tu wala isiwe tab! Ingawa najua kabisa upo hewa ila kiungwana tu!
Haya tuanze,
View attachment 1624060
Huyu apa juu ni china, exports ni $2.5TRILLION
View attachment 1624061
huyu ni united states, exports ni $1.64 TRILLION
- Now tuconclude kikubw, kutokana na izo data we unadhan nan ela yake ndo inatakiwa kuzunguka dunia zaidi ya mwenzake na nan anahitajika zaidi? Sasa ukishatoa jibu then tuelezee USA wanatoa wap hio mandatory ya kuprint trillion 1.3 kila sku kitu ambacho hata china hawafanyi, nyoosha maelezo kwa kutumia facts tumalize huu utumbo wako maaana unaukazia sana kumbe hujui chochote!
Nakubaliana na weweUkiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.
Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051
mbona unabadilisha magoli...uchumi as of now factor kubwa ni GDP kwa nchi na china ni ya pili.do you know whats a PPP?
Una hoja sawa, ila inajibiwa kimtazamo wa kiuchumi, of course uchumi utaporomoka sana, kiuchumi sio sawa rejea kipindi cha mzee ruksa mwinyi pesa ilipatikana mtaani kama njugu je uliona athari zake?Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.
Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.
Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?
Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa ya hospital na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?
Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.
Dept is good for the U.S economy b'se mwisho wa siku anaekopa na anaedaiwa ni mke na mume wake.View attachment 1624053
Uchumi wenyewe unaitwa debpt based system mtu anakwambia supply and demand! anyway maybe this will conclude why i said dept is the only solution
China anazidiwa mpaka na japanese yen kwasababu ya policy zake.
China amezuia internal investors kutoa pesa yake nje ili iendelee kuzunguka nchini(huu ni mpango wake binafsi ili aje kuwa superpower)
kwahyo anavutia watu wainvest kwake kwasababu ana cheap labour(kina Apple,Samsung etc.)Lakini pesa wanazotengeneza hazitoki nje zinaishia kulifaidisha taifa
ni ngumu sana almost impossible kutoa pesa nyingi from China...although sikuiz Yuan imeanza kuja juu
Kwahyo Asia wanatrade sana kwa JPY na vile vile ulaya wanatrade kwa Euro.
hizi currencies zote ni fiat currencies meaning haziko backed na chochote hata dollar
kwahyo hata Euro na JPY wanaweza kuprint kiasi wanachotaka hata hizo trillions kulingana na demand yake lakini fact is USD pekee ina account for 85% ya world's foreign exchange transactions kwahyo demand yake ni kubwa ndomana wanaprint ivo.
wangeprint kiasi kikubwa hivo wakati hamna demand yake dollar ingeshuka thamani na uchumi wa US usingekuwa stable.
kinachofanya USD ipewe kipaumbele ni kwasababu ya stability ya uchumi wa marekani...uchumi ukiyumba wanasupply more notes kucounter effects za depression. na ndomana baada ya kuachana na maswala ya gold currencies uchumi wa dunia haujayumba sana kama enzi zile kila siku utasikia great depression
ilikuwa kwasababu uchumi ukiyumba kidogo tu watu wanazificha dhahabu zao hawataki kuzitumia kwa kuhofia thamani imeshuka wanasubiri ipande wapate faida kwahyo mtaani kunakuwa hakuna hela hata ya kununua mkate....lakini baada ya WWII US alipokuwa uchumi mkubwa na stable akaitema gold currency ndomana kwa USD umeona hata kwenye janga la corona lakini haijatokea world depression kwasababu Federal reserve wameprint hela bila kujali uwepo wa gold kwenye reserves au watu wamezichimbia au la.
Dept is good for the U.S economy b'se mwisho wa siku anaekopa na anaedaiwa ni mke na mume wake.
sisi tunaongelea nchi zetu huku Tz. internal dept ni nzuri kwasababu ya ile principle ya money multiplier na ndo njia ambayo mabenki hutengeneza pesa..lakini public dept(deni la taifa) in the long run sio zuri maana linakimbiza investors,kuongeza interest rates na linaleta neo colonialism...wanasiasa huwa wanakopa ili wapate kura term ya pili(wajenge madaraja na mastiglers) bila kuangalia madhara yake in the long run..
By the way kama nchi yako haizalishi...unakopa hela ya nini?mwisho wa siku it all boils down to demand and supply
mbona unabadilisha magoli...uchumi as of now factor kubwa ni GDP kwa nchi na china ni ya pili.
tukianza other factors naweza kukuambia qatar anaongoza anamzidi huyo mchina tukiangalia GDP per capita au GDP per capita,PPP adjusted..au GNI per capita
mbona unabadilisha magoli...uchumi as of now factor kubwa ni GDP kwa nchi na china ni ya pili.
tukianza other factors naweza kukuambia qatar anaongoza anamzidi huyo mchina tukiangalia GDP per capita au GDP per capita,PPP adjusted..au GNI per capita
saaahv umesaliti tena demand and supply yako au sio!
- uchumi wa dunia hauendi ivo, kitu kinchofanya USD iwe global reserve ni utapeli na un fairness, yaani ukiona nchi inatumia USD sio kwamba wanategemea USA kufanya nao biznez but ni kwa sababu ya utapeli walioukubali mwanzoni,(mfano: nkitaka kutrade na kenya nchi ambayo ni next to me unadhan natumia currency gan kama sio USD? unadhan kenya hawana currency yao? but why USD?) d
- Usa anachofanya ni kuziweka nchi katika mzigo wa unbalancement kwa sbabu in real sense tanzania tayar kuna inflation, mtu yoyote anaweza kukubali usd na anaweza kukubali tsh pia, so kwa hraka haraka tanzania tayar ile amount iliokua inatakiwa kua filled by tsh usd ameshajaza, so tunaprint kwa kiwngo flan then tunatakiwa kuacha space kwa ajili ya usd ili economy iwe balanced
- Kua na sjui unasupply dunia nzima wala hata haihusiana na rights za marekani kuprint 1.3TRLLION kila sku mmoja, ni utapeli tu unaendelea na hakuna kingine, Na kitu usichokijua what makes tsh valueless sio economy ya tanzania bali ni usd ambazo znakua pumped kwa tanzania each now and then, when the fed prints new money they do make sure your money becomes more and more valueless so that tsh iwe non factor, although sio the only factor but its the main factor!
- Ingekua usd ndo the most wanted money on the world ingekua rahisi kutell, angalia wanaexport kiasi gan nje ya nchi yao then utajua uhuhimu wa usd katika kutrade but imeachwa mbali sana na china, na china hawakubali utumie $$ ndan ya nchi yao, sisi ukipewa dola sawa ukipewa tsh sawa!
ndomana nkasema dept is good for U.Shahaha duuh! unajua usa hua waprint pesa mpya alafu wanaitumia kukulipa kama unawadai?
Bwashee mbona unakimbilia kichaka cha PPP...namimi nimeongelea GDP per capita ya Qatar hapo vipiPPP means purchasing power! china ndo inaongoza kwa purchasing power dunia nzima, china vs us bado china pia ndo inaongoza kwa exports kama nlivokuonyesha kwenye zile charts, sasa huezi kua heavy economy kama hauna exports kubwa na watu hawana utegemezi kwako ambao ni mkubwa, easy as that! kigezo kikubwa cha kua economy kubwa kinabase 90% na PPP, so china ndo the heaviest economy duniani saaahv kama nlivokuonyesha pia, una lingine?