Reforms zimeshafanyika broo.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Haya maandishi yanafanana sana na mwandishi husika! Si ajabu.Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Mwandishi gani mkuu.Haya maandishi yanafanana sana na mwandishi husika! Si ajabu.
Tuambie mapema mkuuNitakuja kuwaambia kipi kimejificha
Ifikapo August 3
Bunge tayari limeshastishwa na Rais ila kuvunjwa huwa inachukuwa muda kama mwezi mmoja hivi ili shughuli mbalimbali zilizopitishwa na Bunge ziweze kukamilika ndio livunjwe kabisa haliwezi vunjwa siku moja wakati kuna shughuli zingine hazijamalizika bado.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Good thinkingWanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Amereseat form four. Kuna kingineUnamfikia kwa shule,au kwenye ukoo wenu kuna mtu anamfikia achilia mbali kumzidi?
Prof muhongo alirudia sana msingi,leo professorAmereseat form four. Kuna kingine
Yes karudia na kapasua mpaka chuo kihalali na kapata uprofesa. Rais wako kapewa phd ya kichawa ndo mnamuita daktari.Prof muhongo alirudia sana msingi,leo professor
Hoja ilikua kurudia,rais kasoma mzumbe, manchester university, open universityYes karudia na kapasua mpaka chuo kihalali na kapata uprofesa. Rais wako kapewa phd ya kichawa ndo mnamuita daktari.
Elimu ya kubumba, na hapo umeogopa kuweka hata vi nchi kama pakistani n.kHoja ilikua kurudia,rais kasoma mzumbe, manchester university, open university
Angalia #4Haya maandishi yanafanana sana na mwandishi husika! Si ajabu.
Na hili mkalitizameSamia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Mahanjumati ya kuvutia ambayo hayachoshi kula yanapikwa, nasikia Julai kuna mfululizo wa matukio kiunabiiHata Zanzibar bado halijavunjwa.
Something is cooking in the air
Ngoja tuone hii July inatuambia Nini.
Manchester university ni postgraduate diploma, mzumbe advanced diploma, kipindi hicho ni IDMElimu ya kubumba, na hapo umeogopa kuweka hata vi nchi kama pakistani n.k
Ukilitafuta jina lake kama mhitimu Manchester University hulipati.
Hawasemi alihitimu mwaka gani, kozi gani? Tuwaulize Manchester University. Wao huwaga hawadanganyi. CCM Wameweka CV iwe vague, imekaa kiusanii.
Itakuwa wanalinda vyeo vya mawaziri.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
NA mawaziri pia.Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.
Kwa muda huu wabunge watalipwa stahiki zao, pensheni, salary nk. Baadaye Kwa watakaopitishwa na vyama kugombea wataanza kampeni. Ni hilo TU.Issue ni mishahara, kumbuke mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya million 14.
Ccm hawajawahi kuwa serious na maisha ya Watanzania.
Anayefikiri hapo kuna issue ya reform wala siyo maana yake, haya majitu ni malafi hayana huruma na hatuwezi kuyaondowa kwa hiyari.
Kwani Nyerere, Mkapa, Mwinyi walifanyajeItakuwa wanalinda vyeo vya mawaziri.