Kwanini Bunge linawakumbatia Wabunge wasio na sifa?

Hujui kuwa kuwa na democracy iliokomaa isiyo na uonevu nayo ni maendeleo ?![emoji174]. Twaweza hawakukosea

Kutokuwa na uonevu ni kuwapa chadema ubunge wa majimbo? Kutokuwa na uonevu ni kuruhusu chadema wakiamua kuingia barabarani waingie? Kutokuwa na uonevu ni kuacha wakina mnyika waongee anything ambacho wao wanaona ni sawa?
 
Ww ndio ujui kitu
Ngoja nikueleze dogo. Nchi zilizofanya maendeleo makubwa na endelevu ni zile za ki democracy. Nawala si za ki dictator/ki communist. Angalia pote ulimwenguni utaujua ukweli.
So Tanganyika haiwezi kujificha kwenye u communist/dictator na kudhani tutatoboa. After all haya mambo watu wanaenda nayo wapi ?!. Yuko wapi Maghufuli ?
 
Kutokuwa na uonevu ni kuwapa chadema ubunge wa majimbo? Kutokuwa na uonevu ni kuruhusu chadema wakiamua kuingia barabarani waingie? Kutokuwa na uonevu ni kuacha wakina mnyika waongee anything ambacho wao wanaona ni sawa?
Kwani , ubunge wa majimbo wakishinda kwanini waporwe ubunge wao ?!. Ukiwapora ubunge ndiyo maendeleo ?! .
 
Ila ulinatakiwa wawe na chama. Kama hawawezi wajiunge na chama tawala
 
Kweli mkuu hii ipo hivyo
 
Mkuu kifo cha jeipiemu kimewavuruga sana, tune ya mziki imebadirika ghafla...
 
🙏🙏🙏
Asante kwa taarifa
 
🙏🙏🙏
 
Yaani wanasumbua tu ili kulinda bunge
 
Chadema achaneni na HAO wabunge.endeleeni na maisha yenu.
Si mmeshaamua kuwafukuza sio wanachama wenu.
Sasa mbona mnahangaika nao?.
 
Watakaa kwa miaka mitano yote
Kwanini serikali na Ccm iwachagulie CDM nani wa kuwawakilisha bungeni bila kufuata utaratibu ?!. Msukuma mwenzangu aliharibu sana utaratibu wa utawala bora . Lakini yote yana mwisho. Yuko wapi ?
 
Wabunge wote wale mle bungeni wa viti maalum na wa majimboni akiwepo Nape aliyepita bila kupingwa hawana sifa. Kwahiyo kuweka Sawa ni kwamba uchaguzi urudiwe ndio tutapate wabunge wapya
Kweli mkuu japo hata ukiiambia tume wazo hili linafanyiwa kazi 0.00%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…