Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

Huyu mama mshamba na mlevi wa madaraka. Ni mtu mjinga asiyejua chochote amepata bahati ya kuyakalia madaraka makubwa ndiyo maana hajui nn cha kufanya.
Utaishia kubwabwaja kwenye mitandao kama Mara na huna Cha kufanya
 
Halafu watu wapo mwezi mtukufu. Yaani mama hata ka tweet tu hakuna. Watanganyika tunatakiwa kuungana pamoja kumuenzi mzee wetu . Wazanzibari hawako na sisi
Nyie Chadomo na wale mliokua nae ndio muenzini labda Kuna kitu kawasaidia.
 
Who is Waziri wa zamani? Analindwa au kupewa favour kikatiba? Acha ujinga.

Mwisho kumbe mna hamu ya Kumuona Rais mnamtukana Hadi mnamlilia na kuanzisha nyuzi 😂😂
 
Nenda wewe.
 
Nadhani Polepole yuko sahihi, hii serikali imepigwa kopi.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Kwakua nae ni binadamu anachukia wanaomkosoa,anaagiza watekwe na na misiba ya maadui zake serikali yake isishiriki.
 
Unataka kusema Akifa Karume Serikali haitahusika sababu Fatma anaipinga serikali?
Uongozi wa baba wa Maria na Fatma ni tofauti kabisa kiitifaki. Huyu mmoja aliongoza mhimili wa dola ambapo ni lazima serikali ihusike kwenye mazishi yake kama ilivyokuwa kwa Lowasa au itakavyokuwa kwa Sumaye.
 
Amejitenga kivipi...
 
Uongozi wa baba wa Maria na Fatma ni tofauti kabisa kiitifaki. Huyu mmoja aliongoza mhimili wa dola ambapo ni lazima serikali ihusike kwenye mazishi yake kama ilivyokuwa kwa Lowasa au itakavyokuwa kwa Sumaye.
Hebu elewa somo,ni Sawa ushiriki wa serikali katika misiba hii miwili utakua tofauti?je hamtashiriki sababu Maria ni mkosoaji wa serikali?au
 
Kwani Samia ni lazima ajihusishe na kila msiba?

Mbona kama mnataka kumpa umuhimu ambao hana?

Una hakika familia ya Sarungi inataka rais Samia ajihusishe na msiba wao?
Soma vizuri andiko chawa wewe. Mm nalalamikia serikali inayoongozwa na Samia kujitenga na msiba wa prof. Sarungi. Sijataka aende Samia yeye binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…