Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
Huyu mzanzibari aanajifanya muumini wa 4R ni kwann chuki zake kwa Maria Sarungi anazielekeza kwa prof. Sarungi RIP?
Huyu mama asituletee utamaduni wa nchini kwao Zanzibar wa kwamba mtu akikosana na jirani yake hata msibani anasusa. 2025 huyu mama hatoboi kwa ubaguzi huu.