Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

Makamu Mwenyekiti Mzee Stephen Wasira kumbe yuko Republican siku hizi? Jana hukumwona msibani?🙏🙏🙏
 
Majibu ni yale yale anayoyasema Drump kuwa viongozi wa kiafrika ni wanafiki na ni wabinafsi.hawapendi kuwa challenged.ukimkosoa anakifanya wewe ni adui.black continent with black thinking.
 
Reactions: G4N
Wengine hutafsiri Siasa ni uadui !
Na wengine huamini Siasa ni kukomoana !
Ule msemo wa kwamba tusigombee fito tunajenga nyumba moja !
Kwisha habari yake !
Siasa kwa sasa ni mahali pa kuchuma Utajiri !
Waswahili Wanasemaga kwenye kipato hapakosi fitna na husda !
Ndipo tulipo kwa sasa 😳 !
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Kamtukana matusi gani ebu lete hapa tuyaone?

Au huko kwenu kukosoa kitu ndo kutukana
 
D
Majibu ni yale yale anayoyasema Drump kuwa viongozi wa kiafrika ni wanafiki na ni wabinafsi.hawapendi kuwa challenged.ukimkosoa anakifanya wewe ni adui.black continent with black thinking.
Duh 🙄 !
 
Acha upotoshaji gentleman, hakuna haja ya kutafuta kiki msibani kwa muungwana Mzee Philemon,

Mzee ameumaliza mwendo, ni vizuri kuwa wangwana na kujiepusha na upotoshaji na mzee apumzike kwa amani 🐒
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Mimi ni mfuasibwa maria mtandaoni sijawahi ona matusi. . labda uyaweke hapa
 
Mmh wamejitengaje wakati Wassira alienda jana?
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
-Maria hajawahi kumtukana mtu.
-Kuwa na mitazamo tofauti na CCM si mtusi kwa Samia wala kwa mtu yoyote yule wa CCM.
-Mitazamo ya Maria kisiasa haihusiani na mitazamo ya baba yake na wala haiufuti uanachama wa baba yake CCM.
-Ukweli kuwa amekuwa mtumishi na kiongozi wa serikali wa ngazi za juu chini ya CCM hauwezi kufutika eti kwa sababu mwanae ni supporter wa CHADEMA.

Kwa kifupi CCM kimejaa viongozi wenye roho za kutu, husda na za kikatili. Wanataka kila mtu awe chawa wao vinginevyo unahesabika ni adui unayestahili kutekwa na kuteswa/kuuawa.
 
sifa kuu ya CCM chuki na wizi iwe pesa,kura,pembe za ndovu,bandari wanaweza kukuibia hata roho yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…