Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Haya mambo naona yanakuwa influenced na dini ya kiongozi aliyepo madarakani, ok huwa wanasema wanatazama sifa hawatazami dini.

Lakini ni kweli kwa hii jamii yetu leo iliyo na wasomi mchanganyiko toka kila upande, wakakosekana wa upande wa pili ili kuleta usawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…