Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Jomba si unaonaga CDF anapewaga heshima ya kitofauti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CDF Ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na IGP ni mkuu wa upelelezi na ukaguzi wa polisi NA POLISI ni kikosi cha usalama na upelelezi wa kesi za jinai na mauaji kwenye jamiiChief of defence force(CDF)
Hakuna Cheo Cha mkuu wa majeshi ila Kuna Cheo Cha mkuu wa jeshi la ulinzi.
Watakwambia yeye ndio mwenyekiti kwenye kile kikao Cha majeshi, ndio nini?
Force ukitafsiri kwa kiswahili maana yake ni KikosiHalafu kwanini huwa wanaita Police FORCE?
Hichi ndio chanzo cha udikteta wa kipolisi.
Haya mambo ya kuitana FORCE haya yana psychological impact mbaya hata kwa mapolisi wenyewe!
A FORCE TO GO WHERE? FORCE!!!???
Fafanua hapo kwenye Siraha nzito[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawafundishwi silaha nzito
Wewe ndio umeandika nini?Hata Israel ina defence Force,unajua nini maana ya force..
Moja katika Jeshi bora Duniani ni Jeshi la Israel,Jeshi la Israel linaitwa Israel defence force(IDF)
Mkuu,hayo ni majina tu,nchi zimeamua kuita jeshi lake....
kwa ufupi ukitumia neno force kwenye Jeshi,inamaanisha ni moja katika kikosi kwenye Jeshi kubwa(Military)
mfano Air force,Army Force,commando force,Police force nk
Military ni Jeshi,Force ni kikosi,...
Ningelikuomba urudi shule upata knowledge kidogo :-
Jeshi ndio TpdfJWTZ ni mkusanyiko wa:
-Jeshi la kujenga taifa(JKT)
-Jeshi la anga
-Jeshi la nchi kavu
-Jeshi la maji
Hizi kila moja hujulikana kama kamandi, na mkusanyiko wake ndiyo yanaitwa majeshi. Hivyo ueye kuitwa mkuu wa majeshi ni kutokana na hilo.
Sheria ya uundwaji wa jeshi la polisi inasemaje kwani?CDF Ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na IGP ni mkuu wa upelelezi na ukaguzi wa polisi NA POLISI ni kikosi cha usalama na upelelezi wa kesi za jinai na mauaji kwenye jamii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetoa tafsiri toka dictionary gani?Force ukitafsiri kwa kiswahili maana yake ni Kikosi
Police force,Army force,Air force,Cammondo force,..nk..
Police force=kikosi cha polisi
Fatilia mapinduzi yaliyotokea Haiti.Ulishawahi kusikia Rais wa nchi amepinduliwa na jeshi la polisi, Magereza, zimamoto au uhamiaji?
Ngoja nirekebishe nimechapia mkuuintergovernmental rival ni nini?
Kibiti na Mapango ya AmboniHalafu kwanini huwa wanaita Police FORCE?
Hichi ndio chanzo cha udikteta wa kipolisi.
Haya mambo ya kuitana FORCE haya yana psychological impact mbaya hata kwa mapolisi wenyewe!
A FORCE TO GO WHERE? FORCE!!!???
Huwa anatangazwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaNi mkuu wa majeshi (ukipenda malizia kabisa MKUU WA MAJESHI YA ULINZI) yaani CHIEF OF DEFENCE FORCES na wala siyo tafsiri yako hiyo unayolazimisha hapo
Utake ndiyo hivyo usitake itaendelea kubaki kuwa hivyohivyo. Halafu kuna mdau amemaliza mjadala hapo juujuu>>> ameuliza "Ukiambiwa kuwa Kimbute Mkendembanga ni mwanajeshi utakuwa umeelewa mojakwamoja au utauliza tena ni askari magereza au polisi?
Nimewahi kuwasikia mkuu.Umewahi kusikia JKU, KMKM? Maana ulinzi ni suala la muungano.
Kwa mujibu upi?Jeshi ni moja hizo nyingine ni department.. Or you may say an affiliated organizations
JkT ni kamandi moja wapo ya JWTZKuitwa force au service haiondoi maana yake ya kuwa nao ni jeshi.
National service ambayo kwa kiswahili ni JKT haiondolei sifa ya kuitwa jeshi.
Safi kabisa na upo sahihi.JkT ni kamandi moja wapo ya JWTZ
Kulinda usalama wa raia na mali zao ni jukumu la polisiKwahiyo Polisi KAZI Yao ni Usalama Tu na ulinzi hauwahusu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app