Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

JWTZ ni mkusanyiko wa:

-Jeshi la kujenga taifa(JKT)
-Jeshi la anga
-Jeshi la nchi kavu
-Jeshi la maji

Hizi kila moja hujulikana kama kamandi, na mkusanyiko wake ndiyo yanaitwa majeshi. Hivyo ueye kuitwa mkuu wa majeshi ni kutokana na hilo.
 
Chief of defence force(CDF)
Hakuna Cheo Cha mkuu wa majeshi ila Kuna Cheo Cha mkuu wa jeshi la ulinzi.

Watakwambia yeye ndio mwenyekiti kwenye kile kikao Cha majeshi, ndio nini?
CDF Ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na IGP ni mkuu wa upelelezi na ukaguzi wa polisi NA POLISI ni kikosi cha usalama na upelelezi wa kesi za jinai na mauaji kwenye jamii
 
Halafu kwanini huwa wanaita Police FORCE?

Hichi ndio chanzo cha udikteta wa kipolisi.

Haya mambo ya kuitana FORCE haya yana psychological impact mbaya hata kwa mapolisi wenyewe!

A FORCE TO GO WHERE? FORCE!!!???
Force ukitafsiri kwa kiswahili maana yake ni Kikosi

Police force,Army force,Air force,Cammondo force,..nk..

Police force=kikosi cha polisi
 
Hata Israel ina defence Force,unajua nini maana ya force..

Moja katika Jeshi bora Duniani ni Jeshi la Israel,Jeshi la Israel linaitwa Israel defence force(IDF)

Mkuu,hayo ni majina tu,nchi zimeamua kuita jeshi lake....

kwa ufupi ukitumia neno force kwenye Jeshi,inamaanisha ni moja katika kikosi kwenye Jeshi kubwa(Military)

mfano Air force,Army Force,commando force,Police force nk

Military ni Jeshi,Force ni kikosi,...

Ningelikuomba urudi shule upata knowledge kidogo :-
Wewe ndio umeandika nini?
 
JWTZ ni mkusanyiko wa:

-Jeshi la kujenga taifa(JKT)
-Jeshi la anga
-Jeshi la nchi kavu
-Jeshi la maji

Hizi kila moja hujulikana kama kamandi, na mkusanyiko wake ndiyo yanaitwa majeshi. Hivyo ueye kuitwa mkuu wa majeshi ni kutokana na hilo.
Jeshi ndio Tpdf
Kamandi ndio ulizojaribu kutaja
 
CDF Ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na IGP ni mkuu wa upelelezi na ukaguzi wa polisi NA POLISI ni kikosi cha usalama na upelelezi wa kesi za jinai na mauaji kwenye jamii
Sheria ya uundwaji wa jeshi la polisi inasemaje kwani?
 
Force ukitafsiri kwa kiswahili maana yake ni Kikosi

Police force,Army force,Air force,Cammondo force,..nk..

Police force=kikosi cha polisi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetoa tafsiri toka dictionary gani?
 
Halafu kwanini huwa wanaita Police FORCE?

Hichi ndio chanzo cha udikteta wa kipolisi.

Haya mambo ya kuitana FORCE haya yana psychological impact mbaya hata kwa mapolisi wenyewe!

A FORCE TO GO WHERE? FORCE!!!???
Kibiti na Mapango ya Amboni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni mkuu wa majeshi (ukipenda malizia kabisa MKUU WA MAJESHI YA ULINZI) yaani CHIEF OF DEFENCE FORCES na wala siyo tafsiri yako hiyo unayolazimisha hapo

Utake ndiyo hivyo usitake itaendelea kubaki kuwa hivyohivyo. Halafu kuna mdau amemaliza mjadala hapo juujuu>>> ameuliza "Ukiambiwa kuwa Kimbute Mkendembanga ni mwanajeshi utakuwa umeelewa mojakwamoja au utauliza tena ni askari magereza au polisi?
Huwa anatangazwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
 
Jeshi ni moja hizo nyingine ni department.. Or you may say an affiliated organizations
 
JkT ni kamandi moja wapo ya JWTZ
Safi kabisa na upo sahihi.

Ninachogundua watu wengi hawafahamu na wapo humo humo kwenye hizi system.

Wakati ukigoogle na ukienda kwenye website zao unasoma kila kitu mpaka huduma wanazotoa.
 
Back
Top Bottom