Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sio chama hicho tu. Hata vingine vingi kama Madaktari, Ma Engineers, na watu wa Hesabu na Fedha.Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Wewe ni Gen Z ukikua utaona ulichoandika ni Upumbavu
Atakuelewa sasa huyo kweli? Acha na naye tuendelee na Tafakuri.Mbona wabunge, Mawaziri, Rais hawafiki hawafiki elfu Tano na wanaamulia Watu 65M?
CHADEMA wanapenda haki na TLS iliundwa kwa lengo la kutenda haki, kwanini CCM ina ushawishi mkubwa kwenye ufisadi na rushwa?Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Hana cha kujibu.......na angekuwa karibu yako anaweza hata kukuteka kwa kukosa hojaUngejibu tuu. Kutukana kîla Mtu anajua
Sio chama hicho tu. Hata vingine vingi kama Madaktari, Ma Engineers, na watu wa Hesabu na Fedha.
Ni njaa tu zinawatuma wengi lakini Chadema ndio mpango mzima.
Hahaha ukiongelea kwenye vyombo vinavyodeal na Rushwa ccm ndio mahali pake.CHADEMA wanapenda haki na TLS iliundwa kwa lengo la kutenda haki, kwanini CCM ina ushawishi mkubwa kwenye ufisadi na rushwa?
CCM ni sehemu ya uozo mkubwaHahaha ukiongelea kwenye vyombo vinavyodeal na Rushwa ccm ndio mahali pake.
Nafasi ya Urais wa TLS haina impact yoyote hapa TZ. Maana hata kutunga sheria linatunga ni bunge.TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.
Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake
Hana cha kujibu.......na angekuwa karibu yako anaweza hata kukuteka kwa kukosa hoja
Hao wenye njaa ji sawa na mimi.Lakini Mkûu ukisema Njaa kwani Wanasheria Hawana Njaa.
Mimi ninawajua washkaji zangu wanasheria tuliomaliza nao Miaka kadhaa Nyuma wako na Njaa Kali lakini misimamo Yao Iko tofauti na Wasomi WA Kada ñyiñgine weñye njaa
Chadema ni chama Cha misala na hekaheka za kesi so wanadhani Wakiwa na Wafuasi wengi mawakili watawasaidia kwenye kesi zao zisizoisha 🤣🤣Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
CHADEMA wanapenda haki na TLS iliundwa kwa lengo la kutenda haki, kwanini CCM ina ushawishi mkubwa kwenye ufisadi na rushwa?
😆😆😆Mtu anaporomosha mitusi bila sababu yoyote.Watu kama hao ninawachoraga vikatuni ninapokosa Kazi ya kufanya
Maisha ni kula na kufurahi. Msimamo wako mkali huku unaomba buku kwa washikaji uende mahakamani ni UpumbavuLakini Mkûu ukisema Njaa kwani Wanasheria Hawana Njaa.
Mimi ninawajua washkaji zangu wanasheria tuliomaliza nao Miaka kadhaa Nyuma wako na Njaa Kali lakini misimamo Yao Iko tofauti na Wasomi WA Kada ñyiñgine weñye njaa
Msingetegemea wahesabu kura kutangazwa washindi.CCM tuna ushawishi kwa wapiga kura wote.
Sahihi kabisaNaweza kukubaliana na wéwe
Hata Polisi wanapojua wanayeenda kumkamata NI mwanasheria hu-act tofauti na akikamata Watu Wengine ikiwemo wanataaluma wengine
Yaani wewe huwezi kuwaza jambo lolote nje ya kujaza tumbo?.Maisha ni kula na kufurahi. Msimamo wako mkali huku unaomba buku kwa washikaji uende mahakamani ni Upumbavu
Chadema ni chama Cha misala na hekaheka za kesi so wanadhani Wakiwa na Wafuasi wengi mawakili watawasaidia kwenye kesi zao zisizoisha 🤣🤣
Vingine mawakili hawawezi kuwasaidia kuingia Ikulu